Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelewa allah kasema usiwe na urafiki na mtu yeyote asie kuwa muislamSawa! Na vilevile ikaweka wazi kwenye hizi aya surat Luqman. Nikakuuliza; unaelewaje? Unafafanuaje?
14. Na tumemuusia mtu kwa wazazi wake wawili. Mama yake ameichukua mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu, na kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili. (Tumemuusia): Nishukuru Mimi na wazazi wako. Ni kwangu Mimi ndiyo marudio. 14
15. Na pindi wakikushikilia kunishirikisha na ambayo huna ilimu nayo, basi usiwat'ii. Lakini kaa nao kwa wema duniani, nawe ishike njia ya anaye elekea kwangu. Kisha marejeo yenu ni kwangu Mimi, na Mimi nitakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda
Mkishapata hela zinaishia kwenye vilabu tu utakumbuka saa ngpi kulea watotoMajority Tanzania hii wangapi wana uwezo huo?na siyo kila mtu mwenye ndoa moja ni mzinzi nimemwambia mwenzako hapo juu wapo wenye wake zaidi ya mmoja and still ni wazinzi.
Usizungumzie mtu mmoja mmoja hata hao wenye mke mmoja kuna ambao nanga zinapaa watoto wanalala njaa elimu hawapewi etc maisha mabovu kama wengine tu.
Nyie firraneni msharuhusiwa 'na papa,acha sisi waislamu tuoe wake wanne,Mzee ukitaka battle hatutafika mimi naandika fact siandiki nisiyoyajua screenshot uliyoweka hapo sijui inahusiana nini na ulichoni-quote.
Tanzania hii wengi wetu ni maskini wa kutupwa ni wangapi wenye uwezo wa kulisha wake wanne na watoto kumi na mbili?(assuming kila mke atakuwa na watoto watatu) akawapa malazi ya uhakika na elimu bora ya kueleweka?mnajifanya kufuata dini kuoa wake wengi huku mkiishia kuwapa wake zenu mitaji ya kuuza vitumbua chapatti na maandazi vibarazani kwenye nyumba za kupanga ili kulisha watoto mnaowazalisha mwisho taifa linazidi kuwa la kipopoma.
Inabidi akili zenu zirudi normal ili mjue kwamba nguvu za kiume ni zaidi ya kusimamisha uume na aliyekudanganya wenye wake wengi hawana vimada nani?usijifiche kwenye kichaka cha dini kufikiri upo smart kuliko wengine.
Mzee ukitaka battle hatutafika mimi naandika fact siandiki nisiyoyajua screenshot uliyoweka hapo sijui inahusiana nini na ulichoni-quote.
Tanzania hii wengi wetu ni maskini wa kutupwa ni wangapi wenye uwezo wa kulisha wake wanne na watoto kumi na mbili?(assuming kila mke atakuwa na watoto watatu) akawapa malazi ya uhakika na elimu bora ya kueleweka?mnajifanya kufuata dini kuoa wake wengi huku mkiishia kuwapa wake zenu mitaji ya kuuza vitumbua chapatti na maandazi vibarazani kwenye nyumba za kupanga ili kulisha watoto mnaowazalisha mwisho taifa linazidi kuwa la kipopoma.
Inabidi akili zenu zirudi normal ili mjue kwamba nguvu za kiume ni zaidi ya kusimamisha uume na aliyekudanganya wenye wake wengi hawana vimada nani?usijifiche kwenye kichaka cha dini kufikiri upo smart kuliko wengine.
Swali hili likusaisldie: Wewe ni mkirsto wa Mchungaji/nabii/dini/dhehebu, au mkirsto wa Yesu Kristo?Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka ijayo mungu aturehemu !
Brother Allah amekuonyesha njia ya Haki na hujasherewa na maamuzi ni yako kama unamtaka Yesu katika Uislamu amejaa tele kazi kwako .Kumbuka kama ni mtu wa Ibada tunasali mara tano kwa siku karibu katika UONGOFU.Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Yesu Kristo anaokoa. Njoo kwa Yesu ili uokolewe.Ukkristo ni utapeli
Twende na fact kashfa hazifunzi hapa tunawekana sawa kwa yale tunayoweza tukawa hatuyajui,pale juu nimekuuliza Tanzania hii waislam wangapi unaowajua wewe wanaweza kuoa wake zaidi ya mmoja wakawazalisha wakaa-afford kufanya aliyofanya baba yako kama ulivyojinasibu hapa?Mkishapata hela zinaishia kwenye vilabu tu utakumbuka saa ngpi kulea watoto
Mpaka hapa sihitaji kuendeleza mjadala na wewe nimeshaujua uelewa wako ni kupoteza muda wangu tu.Nyie firraneni msharuhusiwa 'na papa,acha sisi waislamu tuoe wake wanne,
Kwani kuuza vitumbua ni kosa la jinai?acha wake zetu wauze vitumbua na mandazi ila wana amani kuliko nyie 'na migogoro ya ndoa isiyoisha mahakamani
Nimenukuu kauli yaMpaka hapa sihitaji kuendeleza mjadala na wewe nimeshaujua uelewa wako ni kupoteza muda wangu tu.
🤝🏾
Ukristo unahamasishaYesu Kristo anaokoa. Njoo kwa Yesu ili uokolewe.
Kuna mambo mawili nayaona kwako.Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Hivi hii definition mnaitoa wapi? naomba reference please!Dini ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta Mungu. So kila la kheri katika kumtafuta Mungu wako
Usijumuishe Ukristo wote, sema Walokole. Kwetu hatuna Ibada bali tuna Misa! Mtajijua wakimbilia miujiza!Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.