Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

Mbinguni hakuna dini.

Yupo Mungu ambaye ndiye muasisi wa dini zote.

Tulia tu hapo ulipo, je ukienda kwingine isipopapenda itakuwaje ?
Eti Mungu ndiye muasisi wa dini zote? unajiskia unachokisema lakini?

Kuna dini inaamini Ng'ombe ni Mungu, wengine wanaamini Yesu ni Mungu na wengine wanaamini kuamini vyote viwili hivo ni kufuru, then unatuambia hii contradiction yote imeasisisiwa na yeye Mungu mmoja?
 
Tofautisha dini ya kikristo na waumini. Waumini ni watu so Kuna wengine ni wahuni tu waliojificha nyuma ya ukristo kwa maslahi yao binafsi na wapo waliotumwa kuja kuharibu ukristo uonekane hauna maana.Wewe fuata maandiko yanasemaje na sio watu wanasemaje. Kuna makanisa mengi tu bado wanafanya ibada inayotakiwa.So hama kanisa
 
Kuna ukristo na madhehebu ya kikristo
Ayo madhehebu ndo yaliyomuacha kristo.
Hata kwenye biblia yesu alisema kanisa la mwisho lilimtoa nje tena kristo.
Yeye yupo nje anagongo hodi mlango wa kanisa
Ata sehemu fulan alisema je nitapokuja nitaikuta imani??
Na kama izo siku zisingefupisha basi hakuna ata mmoja ambae angeokolewa
Madhehebu yote yameoza
Ila yesu hajakosaga watu.
Atakama ni nane kama ruthu ama nuhu
 
  • Thanks
Reactions: 511
Yesu hayupo kwenye Koran wala uislam, uislam na Koran una mtu anaitwa Issa ambae babu yake ni Imran

Acha kutumia takiya
Ukitaka hivo basi hata huyo mnaemuita Yesu yeye mwenyewe halijui hilo jina!
 
Ukitaka hivo basi hata huyo mnaemuita Yesu yeye mwenyewe halijui hilo jina!
Hakuna Yesu ambae babu yake ni Imran

Isa akija kwenye vitabu vya biblia tunnamuweka na Musa na haruni kitu ambacho hakiwezekani
 
Jiweke wazi ndugu , uungane na ndugu zako katika kumuabudu Mungu muumba wa mbingu na ardhi.
Uislamu wa moyoni haiwezi kukufaa kwa lolote Hadi utamke kwa ulimi baada ya kuamini moyoni kwamba hapana mwenye kuabudiwa, kunyenyekewa, kupendwa, kusujudiwa na kuogopwa kwa haki isipokuwa Allaah na uamini moyoni na utamke kwa ulimi kwamba Muhammadi ni mja na mtume wa Allaah na baada ya hapo usimamishe swala Tano, utoe zaka kama una uwezo , ufunge mwezi wa Ramadhani na ukafanye ibada ya hijja makka kama una uwezo , ufuate yote aliyoyaamrisha Allaah na mtu wake na uache yote aliyoyakataza Allaah na mtume wake. Huna haja ya kumuogopa mke Wala familia yako kwa sababu hao I'ma utakufa na kuwaacha duniani au wao watakufa na kukuacha wewe duniani lakini Allaah yupo na wewe duniani Hadi Akhera huwezi kuachana nae.
KARIBU SANA KATIKA UISLAMU.
Amin
 
Ukristo unahamasisha
Naughty by nature, post: 48023315, member: 696661 Hakuna ukristo unaohamasisha ushenzi kama huo. "Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? msidanganyike, waasherati hawata urithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala WAFIRAJI, wala WALAWITI, ... wala walevi, wala watukanaji..." 1 WAKORINTHO 6:9..
 
Yohana 10:14
[14]Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi;
I am the good shepherd, and know my sheep, and am known of mine.
Usipotoshe watu wewe nenda unakodhani ni sahihi, nimekua mkristo kwa miaka mingi kuna kipindi niliona kama kanisa limekaa kimaslahi sana nikaacha kabisa kusali nikaenda kungine ila sikupata amani ya moyo, hivyo nikarudi kanisani kiufupi nimemuona Mungu na hajawahi kubadilika Yeye ni yule yule, kinachobadilika ni sisi kuenenda tofauti na matakwa yake, lakini ibada hai za Mungu zipo na zitaendelea kuwepo.
 
Twende na fact kashfa hazifunzi hapa tunawekana sawa kwa yale tunayoweza tukawa hatuyajui,pale juu nimekuuliza Tanzania hii waislam wangapi unaowajua wewe wanaweza kuoa wake zaidi ya mmoja wakawazalisha wakaa-afford kufanya aliyofanya baba yako kama ulivyojinasibu hapa?

Naishi Dar naishi na jamii yenu hunidanganyi kitu,baadhi ya mahitaji ya familia yangu huwa naenda mwenyewe kuchukua sokoni kuna siku nimekuta aliyenitangulia kwa muuzaji wanapigishana makelele kwamba mteja anataka nyanya zake chungu ziwekwe kwenye vifuko zaidi ya kimoja kwa kipimo sawa muuzaji anaona ni hasara yeye anamuelewesha kwamba ana familia zaidi ya moja na lazima wapate sawa.

Unadhani baba yako angekuwa na maisha haya ungekuwa ulivyo leo eti!
Ah pointless kijana sasa kugawanya nyanya ilo ni jukumu lake sio la muuzaji ety

Kuhusu uwezo wa kutunza familia ni maamuzi tu ya mtu sio kwamba mtu unakua una pesa nyingi wala nn

Halafu mambo mengine ya kiimani zaidi katika hili nauhakika hata nikikueleza hutonifahamu
 
Hakuna Yesu ambae babu yake ni Imran

Isa akija kwenye vitabu vya biblia tunnamuweka na Musa na haruni kitu ambacho hakiwezekani
Lakini yupo Yesu asiyejijua kama jina lake ni Yesu, au sio?
 
Nimeshangaa unataka kuvuka boda kwenda upande wa pili wakati some kwa sauti moja tulikubaliana humu nawe ukiwepo kwamba mwaka 2022 uwe wa mwisho kwa watu kujiunga na uislamu.
 
Lakini yupo Yesu asiyejijua kama jina lake ni Yesu, au sio?
Hatuongelei jina , ninekupa maelezo kwamba Issa hayupo kwenye biblia kutoka na kuwa na babu Imran na ndugu na haruni

Akija kwenye vitabu vya biblia itakuwa awe na kina Musa na haruni
 
Ndio Mashia hawamuamini Muhammad wao mtume wao ni mwingine kabisaa

Wanamkubali Allan ila Muhammad hawamkubali na wanamzushia mengi tu

Ukitaka Elimu kaa chini Usome kwa wenye Elimu Sahihi

Niishie hapa
Kwani wewe unamuabudu Muhammad ama unamuamini yeye na alichokuletea???

Shia wamemjua Allah kutokea wapi kama hawamwamini Mtume??shia sio kama sisi wakristo hatumtambui Muhammad wala Allah wake aliyemtuma.hatuamini chochote kutoka kwake,hatumzushii jambo wala kumsemea uongo maana si lolote kwetu.
 
Kwani wakati ukirito inaletwa Afrika waliwafundisha disiko viminj mazingaombwe kulia usiku na mchana uragai?
Jifunze kwanza kuandika ndio uje ujibu nilichoandika. Angalizo nimeandika vya kuletewa hata ukristo umeletwa acha mihemko kafiri
 
mungu wa ukweli aliyeumba mbingu na ardhi na asie kuwa na mtoto mungu huyo ndie atakaekuokoa kutoka kwenye giza kuja kwenye mwanga uislamu, wahi usichelewe mauti ya kakukuta upo huko hasara kwako utazikwa na tai na suti
Mh mbona mungu wenu alikua malaya hatusemi. Jitu lina wanawake kama wote😂😂😂😂

Natania tu vya kuja visitubabaishe
 
Back
Top Bottom