Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu


Paulo anakwambia

Warumi 7

18 Kwa maana ninafahamu kwamba hakuna wema wo wote ndani yangu mimi, yaani katika mwili wangu wa asili. Ingawa nina nia ya kutenda lililo jema, lakini ninashindwa kulitenda. 19 Sitendi lile jema nipendalo bali lile ovu nisilopenda, ndilo nitendalo. 20 Basi kama ninafanya lile nisilopenda kufanya, si mimi tena nifanyaye hivyo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.
 
Siyo nyie mnaojinadi kuwa Mzazi ni Mungu wa pili?

Na je wasiyomuamini huyo yesu wako wanasaidiwa na nani?

Huyo yesu kasaidia nini ktk matatizo ya dunia hii ikiwemo magonjwa,vita,ibadhirifu,nk iwapo anaweza ambayo Wazazi hawezi?

Mzazi kakunyonyesha,kakusomesha,kakupa chakula,nk je huyo yesu amewahi kukipa chakula?

Nyie wenyewe mnajinadi kuwa yesu ana mzazi wake ambaye ni mariam sasa iweje yesu awe zaidi ya mzazi wake aliyemleta duniani?

My friend za kulishwa boost na za kwako inamaana yesu ni bora kuliko mariam?
 
Ebu wekeni wazi nani aliyekuwa anaandika hayo aliyoyasema paulo,yesu,issa,nk wakati kipindi hicho hawakujua kusoma wala kuandika??
 

Endelea kumfuata kichaa

 
Mkristo wa kanisa lolote. Kanisani huendi kumfata mchungaji, unapeleka moyo wako ulio wazi kwa yesu.
Uwe mkristo wa kanisa lipi , kwani kuna madhehebu ya Baptist tu peke yake zaidi ya elfu 10 tofauti, hujaja madhehebu mengine . Halafu biblia ndio hazina idadi na kila moja inasema vyake
 
Sasa kwani hiyo verse ina shida gani? Au unataka kuleta tafsiri yako wewe maamuma usiejua exegesis yake? Muislam koma na kamwe hutokaa unifundishe kuhusu ukristo wala historia ya bibilia. Unadhani hiyo ni kama makori
Kichaa ni Muhammad alafu huwezi kunifundisha kuhusu bibilia kamwe muislam. Hujui mantiki wala context ya hivyo vitabu. Bibilia hairukiwirukiwi kama makorokocho yenu ya kiarabu. Alafu kanisa lilianzishwa na Petro, na ndio Papa wa kwanza, Paulo hajawahi kuwa papa. Wajinga kweli.
 
Mkristo wa kanisa lolote. Kanisani huendi kumfata mchungaji, unapeleka moyo wako ulio wazi kwa yesu.

Jehovah witness hawamtambui Yesu kama ni mungu , Mkatoliki anamuona ni mungu , Kuna gay church wanaona yesu aliruhusu ushoga , wewe utafuata ?? kuna Satanic church wanamwona yesu ni shetani jee wewe utafuata ??
 

Umekusudia biblia ipi ilyokuwa hairukiwi rukiwi kama makorokocho , ni Gay bible, Satanic bible , NKJV QJV, AV, au maelfu ya biblia zilizo tofauti ??
 
Jehovah witness hawamtambui Yesu kama ni mungu , Mkatoliki anamuona ni mungu , Kuna gay church wanaona yesu aliruhusu ushoga , wewe utafuata ?? kuna Satanic church wanamwona yesu ni shetani jee wewe utafuata ??
Kama wanatumia biblia unasali lkn kwa kupima je neno linalotoka Ni la uzima?

Utapata hasara Kama umeenda bila yesu. Lkn Kama yesu unae hakuna wa kukuweza Bali wewe utawabadili wao.
 
Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir!!!!!!!
 
Hii ni "reported speech" siyo yesu aliyeandika haya maandiko mjitambue unajua ujinga ukizidi unakuwa dhambi, ilipaswa yesu aandike mwenyewe siyo watu ambao ni wakoloni ndiyo waje kuandika baadae wakati ueye aliyesema hayupo na wao hawakuwepo wakati anasema.
 
Mzazi Ni Mungu wa pili. Yaani unaleta nahau kwenye imani. Hii Ni nahau za mitaani huko acha kuchanganya mambo.

Nitakuuliza swali na unijibu usilete mbwembwe hapa.
Ikiwa mzazi wako amekulea amekulisha na kukuvisha Hadi unakua then ukashindwa kumuheshimu, ukamdharau ukamkana mbele ya ndugu jamaa na marafiki utapata matatizo gani maishani?
 
Kama wanatumia biblia unasali lkn kwa kupima je neno linalotoka Ni la uzima?

Utapata hasara Kama umeenda bila yesu. Lkn Kama yesu unae hakuna wa kukuweza Bali wewe utawabadili wao.
Ujinga yesu si chochote wala lolote angekuwa wa maana wewe hapo unayemfia siungekuwa na hali tofauti kwa yeye kukuwezesha kila kitu
 
Wewe ni mjinga na unafuata mkumbo hujui ulikotoka,ulipo na unakokwenda ,hivi unapinga kuwa wafia dini mnajinadi MZAZI ni Mungu wa pili pia waheshimu wazazi wako upate kuishi miaka mingi duniani?

Kinachowasimbua Wafia dini ni unafiki na uongouongo tu kwa kukariri ujinga,MZAZI akichukizwa kwa matendo yako mabaya baada ya kukuapiza na akakulaani lazima utadhurika lakini leo hii wangapi mnaapa kwa biblia na misahafu kupitia majina ya yesu na muhamadi na bado mkafanya maovu na msidhurike??

Wachungaji,maaskofu,mapadei,nk wangapi wanawaibia watu mali na pesa kwa kisingizio cha sadaka na zaka na kuwa matajiri wakubwa na kuwaacha waumini wao wakiwa masikini huku wao wakilindwa na mabodigadi/walinzi na silaha kwanini wasilindwe na huyo "yesu" wako?

Yesu si chochote wala lolote ni mhusika mkuu ktk kitabu cha riwaya cha biblia na hao wengine walio ktk biblia ni wahusika wadogowadogo kama walivyo wahusika wengine kwenye riwaya zoote za kusadikika/fiction
 
Jibu maswali shetani wewe acha kejeli.
Ni kujibu swali gani ambalo sijakujibu? Hivi mimi na wewe nani anastahili kuwa shetani iwapo unamtangulia yesu mzungu wa kuhadithiwa usiye na nasaba naye na kuwakana wazazi wako ambao ni nasaba yako?
 
"nyoka in said:
Mzazi Ni Mungu wa pili. Yaani unaleta nahau kwenye imani. Hii Ni nahau za mitaani huko acha kuchanganya mambo.

Nitakuuliza swali na unijibu usilete mbwembwe hapa.
Ikiwa mzazi wako amekulea amekulisha na kukuvisha Hadi unakua then ukashindwa kumuheshimu, ukamdharau ukamkana mbele ya ndugu jamaa na marafiki utapata matatizo gani maishani?"

Hivi hapa kuna swali gani unataka nikujibu nini wakati umeshajijibu kuwa MZAZI ananguvu ukimdharau au kutomuheshimu utapata matatizo maishaishani/LAANA sasa yesu ana nguvu gani iwapo waislam wanamtukana kila leo na kumdhihaki lakini hawapati matatizo wala kudhurika??

Jikomboe kifikra na ujitambue yesu au muhamad si chochote ukilinganisha na WAZAZI kwani hata wao walizaliwa na WAZAZI WAO kwa njia ileile ya sex, kwa kuwa wafia dini mpo kutetea ujinga mliolishwa na mabwana zenu haya komaa na akili zako kuwa yesu ni zaidi!!
 
Atuangalii nani kaandika tunacho angalia alicho andikika ni cha HAKI na CHEMA na KWELI hata elimu ya dunia tunayo soma imetoka kwa hao hao wakoloni
 
Shida ya Uislam kuingia ni sekunde mbili, ila kutoka adhabu yake ni KIFO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…