Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Huna ujualo. Na aliewadanganya ndio hovyo kabisa, Paulo kaamzisha kanisa gani kwa mfano? Waislam bana, wanahangaika na Paulo bila kujua kanisa lilivyoanza. Shida ata mtume wenu hakuwa anajua kusoma kwahiyo nae alikuwa anaskiliza story anachanganya na zake, na majini tena yale kichwani ukiweka na hallucinations dah. 😅 Eti Paulo.
Paulo anakwambia
Warumi 7
18 Kwa maana ninafahamu kwamba hakuna wema wo wote ndani yangu mimi, yaani katika mwili wangu wa asili. Ingawa nina nia ya kutenda lililo jema, lakini ninashindwa kulitenda. 19 Sitendi lile jema nipendalo bali lile ovu nisilopenda, ndilo nitendalo. 20 Basi kama ninafanya lile nisilopenda kufanya, si mimi tena nifanyaye hivyo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.