Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Leo ndo nimekutana na mwendawazimu hahaha!!! Nilikuwa nasikia tu mwendawazimu lkn nilikuwa sijakutana nae hahahaha! Kumbe ndo wako hivi!
 
Ni kujibu swali gani ambalo sijakujibu? Hivi mimi na wewe nani anastahili kuwa shetani iwapo unamtangulia yesu mzungu wa kuhadithiwa usiye na nasaba naye na kuwakana wazazi wako ambao ni nasaba yako?
Nasaba inakufanya uishi milele sio. Nmekuuliza swali kuhusu mzazi ukimkana unapata madhara gani umeshindwa. Kaa kushoto na bhangi zako.
 
Mkuu hata mashehee baadhi kule madrasa kazi yao kubwa ni KULAWITI WATOTO,,, haya mambo haya dini ITABAKI NA NAFSI YAKO hakuna mahala pana usalama et ostazzzz anakula KITIMOTO
 
Kuhusu kusilimu nenda kwenye msikiti wowote ambao upo karibu na eneo lako uulizie viongozi wa msikiti ukishaonana nao waambie kuwa unataka kusilimu watakuelekeza utaratibu unaotakiwa!.
Muhimu elewa kwamba kusilimu ni bure hakuna malipo yoyote utakayotakiwa kulipia zaidi ya kutamkishwa shahada ya kukubali na kutamka kwamba hapana mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah na kwamba Muhammad ni mtume wa Allaah.
 
Mkuu hata mashehee baadhi kule madrasa kazi yao kubwa ni KULAWITI WATOTO,,, haya mambo haya dini ITABAKI NA NAFSI YAKO hakuna mahala pana usalama et ostazzzz anakula KITIMOTO
Alafu kula kitimoto ndo wanaona dhambi lkn kuzini aah!
 
Nimeshangaa sana Kuna sehemu nimeona umesema baada ya kupata akili wakati kwa kuwakiri kwako wana wa makobazi unaonekana bado haujapata akili
 
NYIE NI WAKRISTO JINA MKRISTO WA KUZALIWA NA BABA NA MAMA

BADO HUJAFIKA LEVO YA UKRISTO
.
Huyo siyo mkristo. Aheri hata angesema kuwa yeye ni mpagani aliyeamua kuwa muislam.

Hakuna mkristo anayeujua ukristo halafu akaenda kwenye uislam, inakuwa ni sawa na mtu aliyeamua kupotea kabisa, maana kuna mafundisho mengi kwenye uislam ni upotofu mtupu.

Yesu, nafsi yaMungu, aliweka bayana yaliyopo katika mpango wa Mungu Baba.

Alisema bayana kuwa katika ufufuko hakuna kuoa wala kuolewa, kwani nyote mtakuwa kama malaika, lakini watu wanaambiwa wajilipue wafe, eti watakapofika ahera watapokelewa na mabikira 72 wa kulala nao, na watakutana na mito ya pombe, na mtu na akili yake timamu anaamini! Tamaa zake za uzinzi na ulevi, anahamishia mpaka hata baada ya kifo!!

Tuzidi kuombea wanaopotoshwa kwa mafundisho ya uwongo, wamwelekee Mungu wa kweli. Ni jambo hema, kwa nchi zenye waislam wengi, kama Indonesia, idadi kubwa ya waumini wa miislam wanabatizwa na kumkiri Kristo.

Siku zaja ambapo watu wote watakiri kuwa Kristo ni Bwana, mteule wake BABA wa mbinguni.
 
Kama wanatumia biblia unasali lkn kwa kupima je neno linalotoka Ni la uzima?

Utapata hasara Kama umeenda bila yesu. Lkn Kama yesu unae hakuna wa kukuweza Bali wewe utawabadili wao.
Kwani wewe hiyo biblia yako ni wapi alisema Uwe naye wakati wewe si myahudi au wewe ni myahudi mweusi??
 
Tafuta fedha punguza uchawa.
 

View: https://youtu.be/q-wTQ7f1_Zc?si=39l6vleJVwohQ69K
 
Atuangalii nani kaandika tunacho angalia alicho andikika ni cha HAKI na CHEMA na KWELI hata elimu ya dunia tunayo soma imetoka kwa hao hao wakoloni
Huo ndiyo ujinga sasa unaojiendekeza,haya haohao wazungu wamekuandikia kuwa umetokana na manyani,tena wakakuandikia umetokana na udongo,tena haohao wakakuandikia kuwa umetoka na adam,nk je yoooote umekubaliana nayo kuwa ni ya haki na mema?

Siyo kila alichoandika mzungu au mwarabu au MWAFRIKA ni cha haki ,chema au ukweli inapswa kudadisi na kujiongeza kulingana na uhalisia ,usiwe bwege!!
 
Leo ndo nimekutana na mwendawazimu hahaha!!! Nilikuwa nasikia tu mwendawazimu lkn nilikuwa sijakutana nae hahahaha! Kumbe ndo wako hivi!
Wewe mjinga na ukristo wako unadhani unathamani kuliko mjinga aliye muislam??

Siku ujitambua ndiyo utajua kuwa wewe ni mjinga,mpumbavu,na mtumwa wa fikra.

Ebu waulize watoto wako ambao hujawaambukiza ugonjwa wa ukristo au uislam kuwa kati yako wewe mzazi wake na yesu au muhamad nani bora,kwa vile mtoto huwa ni mkweli atakupa jibu fasaha!!
 
Mkristo wa kanisa lolote. Kanisani huendi kumfata mchungaji, unapeleka moyo wako ulio wazi kwa yesu.
Kanisa ajenge mchungaji kwa akili na pesa yake halafu useme unaenda kwa yesu kupeleka moyo huo ni ujuha mlioachiwa na ukoloni kwanini.

Wewe ni jiwe
 
Ila hizi imani mbili katika uislamu zimetoka wapi? Suni na shia!! Mungu mmoja wa kweli hangeruhusu huu mgawanyiko. Ukristu na uislamu ni utapeli tu!
 
Ndugu zako katika Imaan wanachinja wasioiamini dini ya haki huko Syria na mmekaa kimya.Dini unayoinadi inakuangusha kutokana na roho mbaya na mafundisho ya chuki
Eti dini ya haki
 
Vipi ukitaka kujitoa kwenye uislamu wanakupokea vizuri hivyo hivyo?
 
Usimdanganye,Kule msikitini ataambiwa atamke maneno haya "Hakuna Mungu ispokuwa allah na Mihammad ni mtume wake"
Neno abudu kwenye shahada halipo.
Usikwepeshe ukafiri!
,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…