Huyo siyo mkristo. Aheri hata angesema kuwa yeye ni mpagani aliyeamua kuwa muislam.
Hakuna mkristo anayeujua ukristo halafu akaenda kwenye uislam, inakuwa ni sawa na mtu aliyeamua kupotea kabisa, maana kuna mafundisho mengi kwenye uislam ni upotofu mtupu.
Yesu, nafsi yaMungu, aliweka bayana yaliyopo katika mpango wa Mungu Baba.
Alisema bayana kuwa katika ufufuko hakuna kuoa wala kuolewa, kwani nyote mtakuwa kama malaika, lakini watu wanaambiwa wajilipue wafe, eti watakapofika ahera watapokelewa na mabikira 72 wa kulala nao, na watakutana na mito ya pombe, na mtu na akili yake timamu anaamini! Tamaa zake za uzinzi na ulevi, anahamishia mpaka hata baada ya kifo!!
Tuzidi kuombea wanaopotoshwa kwa mafundisho ya uwongo, wamwelekee Mungu wa kweli. Ni jambo hema, kwa nchi zenye waislam wengi, kama Indonesia, idadi kubwa ya waumini wa miislam wanabatizwa na kumkiri Kristo.
Siku zaja ambapo watu wote watakiri kuwa Kristo ni Bwana, mteule wake BABA wa mbinguni.