Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Nakusubiri uniambie towashi ni Nani kwa Kiengereza na kigiriki , usinikimbie
Towashi ni mwanaume anithi au aliye jizuia na kusex maisha yake yote au aliye asiwa....au asiye na uwezo wa kumwingilia mwanamke
 
Towashi ni mwanaume anithi au aliye jizuia na kusex maisha yake yote au aliye asiwa....au asiye na uwezo wa kumwingilia mwanamke

Swali lilikuwa

Nakusubiri uniambie towashi ni Nani kwa Kiengereza na kigiriki , usinikimbie

Kuna kiengereza na kigiriki hapo ? kama hujui si useme tu , kujitia upofu ndio upate kitu gani ??
 
Ndiyo mafundisho ya nabii wako Tito hayo ??
 
Swali lilikuwa

Nakusubiri uniambie towashi ni Nani kwa Kiengereza na kigiriki , usinikimbie

Kuna kiengereza na kigiriki hapo ? kama hujui si useme tu , kujitia upofu ndio upate kitu gani ??
Tumia akili yesu anasema kuto kuoa wala kuolewa kwa ajili ya mungu ni chaguo bora zaidi sasa ushoga umetoka wapi hata kilogic inagoma ...haya eleza wewe towashi ni nani ? Soma hapa wewe kiazi mbatata
 
Attachments

  • Screenshot_20250309-190441_Google.jpg
    254.4 KB · Views: 1
Mimi namkataa shetani na kazi zake zote, kwa nguvu zangu zote na akili zangu zote. Najitoa kwako Yesu kukutumikia mpaka kufa. Amen!

Kwa nini hupendelei zaidi kusoma injili mlutheri mwenzangu, huoni msingi wa ukombozi kupitia neema hiyo?
 
INJILI uisome mara kwa mara ili ukariri Nini maana stori ya yesu si ipo kichwani na mafunzo yake yote ..ni kupiga tu na kustawisha sifa zake
 
Hujuwahi kuwa mkristo,wewe😂😂😂😂 eti umeshuhudia pastor anamuogesha .wanamke madhabahuni....kwani hilo limendikwa wapi katika Biblia,au Yesu alifundisha wapi juu ya hilo jambo? Do not put words in our mouths...kama umeamua kwenda upande wa pili,hilo ni juu Yako...
Dini zote ni njia ya kumfikia Muumba wao lakini Yesu ni njia na kweli na uzima,mtu hafiki kwa Mungu pasipo kupitia kwa YESU...
Kuukubali uislam maana yake unapinga wazi kwamba YESU hakusulubiwa, Wala hakufanyika kafara kwaajili ya wokovu wa ulimwengu...ukiamini hayo hapo unakuwa mpinga kristo kwa % 100.
 
Tumia akili yesu anasema kuto kuoa wala kuolewa kwa ajili ya mungu ni chaguo bora zaidi sasa ushoga umetoka wapi hata kilogic inagoma ...haya eleza wewe towashi ni nani ? Soma hapa wewe kiazi mbatata

Sema uelimishwe , towashi ni Eunuch na kigiriki ni euvouxoc-- eunouchos
 
Ujaona hii
 
Attachments

  • Screenshot_20250309-190441_Google.jpg
    254.4 KB · Views: 1
Kwahiyo wewe na ushetani wako wote unanizidi Nini mimi? Pumbavu kweli wewe.

Weka hoja hapa, unafikiri Mimi unaweza kunishawishi kwa matusi? Weka hoja acha umama.
Wewe ni mfia dini huna unachokijua juu ya dini unayoabudu umemeza na kukariri tu naada ya kurithi kwa wajinga waliokuzaa,hivi kama ukristo wako ndiyo dini ya kweli kwanini kuwe na dini za Uhindu, Ubuddha, Uislamu, Uconfucianism, Taoism, na Uyahudi? Je wewe unawazidi nini labda hao dini nyingine?

Unajifanya unamchukia shetani kwa kumezeshwa tu wakati shetani ni wewe unapofanya maovu yako shetani huwa anakushika mkono??

Nakushinda pakubwa sana kwani NATAMBUA ASILI YANGU na kuwa mimi siyo mkristo kwani sina nasaba na kristo/mzungu bali nasaba yangu ni ni kwa MABABU na MABIBI ZANGU WAAFRIKA walionitangulia siyo mzungu au mwarabu kama wewe unavyojinadi

Hakuna MWAFRIKA aliyesahihi ktk kuabudu uislam au ukristo mmepotea hamjitambui,hivi usinge kuwa UKOLONI na UTUMWA ulioleta uislam na ukristo wewe kenge ungekuwa mkristo,WEWE NI BWEGE MTOZENI,ZERO JUU YA ZERO!!
 
Sasa unampigia nani kelele , wewe endelea tu huko tena sahizi ni mfungo wa Ramso kazana na mfungo huko
 
Kwa kweli nimesoma kichwa tu na maudhui kidogo, kwa mimi mkristo nimeona uko sahihi, sababu msingi wa dini ya Kristo ni Yesu.

Yesu hakulishana mikate na akina Petro kwa mtindo huo.

Yaani uko sahihi kuona kumbe kulishana dizain ya ndege mnyama sio sawa n
.k
Ila ungefuatilia pia kwa kina historia ya maisha ya waanzilishi wa dini hizi mbili kabla ya kuamua.

Mfano sasa hivi wewe ni ruksa kwenda kutoa mahari ķwa binti wa miaka 9 kutokana na mwongozo wa kiongozo huko uliko.

Na huku Upande mwingine kuna keki za upako, wali wa upako maandazi n.k. pia kuna maombi yalifanyika kwa wanaume wote ambao " Umeme" umekata. Na watu ambao "umeme" umerudi walikuja kushuhudia kanisani humo.

Baadae utajua tu ukweli uko vipi.

Sababu hata kwenye hukumu Yesu alisema ungeliijua kweli shida hamna akaulizwa kweli ni nini.

Ndio hicho kitu na wewe uko gizani
 
😂😂😂 Umeme umerudi mwee, hivi mtu anaweza kubali kujianika mbele za watu vile,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…