Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Hiyo dini ya haki inawalipa sh ngapi hao wafuasi wao,? Maana mwisho wa yote no 💰 no maisha, kwahyo hata ujue kabisa bila pesa usingeweza kupost hata hichi ulichopost.
Tafuta elaaa wachana na haki na ujinga mwingne.
 
bibilia si maneno ya mungu
Umenena kweli, biblia si maneno ya mungu - kwakuwa mungu ni shetani.
2 Kor 4:4-6 SUV
ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.

Ninayemuabudu mimi haitwi mungu. Anaitwa Mungu
Yohana 4:23-24:
"Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli; kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli."
 

Umesema umeamua kwenda kwenye uislam, sasa unaleta andiko lako hapa la nini, kama siyo unafiki?? Nenda kimya kimya huko unakokuamini. Umewahi kusikia hata wanaoenda kwa waganga wa kienyeji, wanaleta maandiko yao hapa.
Ila jambo moja hzingatie kuwa hutaurithi ufalme wa mbingu kwa kwenda kwenye dini fulani, bali kwa matendo yako yanayompendeza Mungu.

Na ufahamu kuwa kwenye dini zote, wapo waovu. Hata Yesu alivyokuja Duniani aliwakuta mafarisayo waliosali kila siku, wenye kufunga mara 3 kwa wiki, lakini Masiha Kristo kwa kuwa alikuwa na uwezo wa kuyaona yaliyopo kwenye mioyo yao, aluwaambia, "Ole wenu mafarisayo na waandishi kwa sababu mnafanana na makaburi yaliyopambwa kwa nje, lakini ndani yamejaa uchafu". Wewe utaukosa ufalme wa mbingu kwa sababu ya matendo yako, siyo kwa sababu ya mchungaji.
 
Mfano wako hauhusiani na hoja zangu.

Hoja zangu zimejikita katika kuthibitisha ukweli.

Huo mfano wako haujajikita katika kuthibitisha ukweli.

This logical fallacy is called non sequitur.

Wewe hujui tofauti ya "ajakwambia" na "hajakwambia", "alafu" na "halafu", hata herufi za Kiswahili hujui.
 
Inaonekana philosophy imekuharibu mkuu
 
Nini kilikufanya uamini hivyo
Kwanza kabisa, sikuamini hivyo.

Katika muktadha wa mantiki, nilielewa, nilithibitisha, nilifahamu kuwa Mungu huyo hayupo.

Kwa kutumia mantiki, kwa kutumia proof by contradiction, kwa kutumia Epicurean Paradox, kwa kutumia the problem of evil, kwa kutumia mutual exclusivity.
 
Hilo jiwe jeusi ni Mungu?

Hili jiwe jeusi ambalo watu wanalipia mawe kumpiga shetani kumbe ni Mungu nilikuwa sijui kuwa Mungu anaishi makaView attachment 3261851
Sasa unasema wanalipiga mawe alafu unauliza tena ni mungu? We uliona wapi Mungu anapigwa mawe?

anyway Kumbe wanalipiga mawe hawaliabudu? Haya leta elfu 40 ninunue mifuko miwili ya cement nikutengenezee kasanamu kako na wewe uwe unakaomba toba na baraka kama huyu mwenzako
 
Haya mzee wa uarabuni umesikika. Kwani Ulisema wewe ni muislam nani atakupinga ? Una haki zote kutangaza uislam wako bila kudanganya na kujifanya eti mkristo. Imani zote ni za kiulimwengu, kuanzia waroma, wasabato, Anglican nk,, kasoro EAGT kwa aina zake. Somo la wasabato la jumamosi hii ni la dunia nzima. Somo la waroma la Juma hili la dunia nzima. Waislam hawana umaalum kuliko wengine.
 
Kumbe wanalipiga mawe hawaliabudu? Haya leta elfu 40 ninunue mifuko miwili ya cement nikutengenezee kasanamu kako na wewe uwe unakaomba toba na baraka kama huyu mwenzakoView attachment 3261859
Hao ni Waromani ambao ndio walianzisha Uislamu

Ndio maana wote mnaabudu masanamu na mawe

Unawacheka wakatoliki ,hujui hao ndio mabosi zenu

Ona wenzako Hawa wanaabudu jiwe jeusi la makka

Eti dini ya haki
 
Ukishaongelea dini, tayari ushamtoa Mungu umeweka tamaduni za watu. If there's one powerful God, there's no religion.
Hizi upuuzi sijui hii ya haki, hii ya sanamu, hii ya ng'ombe, ni kulishana ujinga tu ili utawalike vizuri. Dini ni kama vyama vya siasa, kimoja kina nguvu kingine kina upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…