Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka..Uislam ni mchanganyiko wa ukristo na ushirikina
Hivi kwa akili yako yesu anaweza kukuokoa wewe?, kama hayo ni kweli mbona yeye alishindwa kujiokoa?, na bora ulivyokua huko maana huna faidaEti dini ya haki ,Bora Yesu uliniondoa huku
View attachment 3261833
Umenena kweli, biblia si maneno ya mungu - kwakuwa mungu ni shetani.bibilia si maneno ya mungu
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Uislamu nao umechezewa sana na kutiwa mikono siyo ukristo tu ndiyo ulio chezewaEti dini ya haki ,Bora Yesu uliniondoa huku
View attachment 3261833
Mfano wako hauhusiani na hoja zangu.Skia Nikwambie acha ujuaji wa ki puuzi, yaani ni sawa na mtu aulize kuhusu chakula kizuri cha kumpa afya alafu eti wewe una mshauri alale njaa kisa wewe huna hela , ajakwambia haamini mungu na ndio maana kataja ukristo na uislamu, sasa je wewe upo wapi hapo
Mbona mada zangu umekimbia kuzijadili?kila mada ni ya kujadiliwa na watu wote.
Inaonekana philosophy imekuharibu mkuuMfano wako hauhusiani na hoja zangu.
Hoja zangu zimejikita katika kuthibitisha ukweli.
Huo mfano wako haujajikita katika kuthibitisha ukweli.
This logical fallacy is called non sequitur.
Wewe hujui tofauti ya "ajakwambia" na "hajakwambia", "ujui" na "hujui", "alafu" na "halafu", hata herufi za Kiswahili hujui.
Una la kupinga lolote kwa aliyoyasema? Au wewe ndio una hatimilk ya ukristo.Wewe sio mkristo wala hujawahi kua mkristo lakini pia huujui ukristo
Hilo jiwe jeusi ni Mungu?Tofauti yao hawa wanaabudu Mungu hao waroma wanaabudu sanamu
Kwanza kabisa, sikuamini hivyo.Nini kilikufanya uamini hivyo
Uislamu ni dini yenye upagani kama ulivyo uroma ,sababu , Roman Catholic ndio walianzisha UislamuUislamu nao umechezewa sana na kutiwa mikono siyo ukristo tu ndiyo ulio chezewa
Thibitisha kwa maandikoUislamu ni dini yenye upagani kama ulivyo uroma ,sababu , Roman Catholic ndio walianzisha Uislamu View attachment 3261853
Angaekuwa hakujiokoa angekuwa kaburini kama alivyo mudiHivi kwa akili yako yesu anaweza kukuokoa wewe?, kama hayo ni kweli mbona yeye alishindwa kujiokoa?, na bora ulivyokua huko maana huna faida
Hapana,Inaonekana philosophy imekuharibu mkuu
Sasa unasema wanalipiga mawe alafu unauliza tena ni mungu? We uliona wapi Mungu anapigwa mawe?Hilo jiwe jeusi ni Mungu?
Hili jiwe jeusi ambalo watu wanalipia mawe kumpiga shetani kumbe ni Mungu nilikuwa sijui kuwa Mungu anaishi makaView attachment 3261851
Haya mzee wa uarabuni umesikika. Kwani Ulisema wewe ni muislam nani atakupinga ? Una haki zote kutangaza uislam wako bila kudanganya na kujifanya eti mkristo. Imani zote ni za kiulimwengu, kuanzia waroma, wasabato, Anglican nk,, kasoro EAGT kwa aina zake. Somo la wasabato la jumamosi hii ni la dunia nzima. Somo la waroma la Juma hili la dunia nzima. Waislam hawana umaalum kuliko wengine.Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Hao ni Waromani ambao ndio walianzisha UislamuKumbe wanalipiga mawe hawaliabudu? Haya leta elfu 40 ninunue mifuko miwili ya cement nikutengenezee kasanamu kako na wewe uwe unakaomba toba na baraka kama huyu mwenzakoView attachment 3261859