Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
KengeMfano wa hao wanyama tafadhali
Umenikosea sana kumsema Paka, kiumbe nikipendae duniani, kwanza nakusahisha Paka sio mdokozi kama anatunzwa vema na kupewa chakula kwa wakati, usaliti pia sio ila yeye hataki shida, pesa ya chakula ikikuishia anaenda kwa wenye uwezo wa kumtunza 🤣na siku ukizipata atarudi na kujituliza kwako kama sie yeye aliyopotea hata miezi mitatu, Paka ana akili na utambuzi madhubuti wa mambo ya rohoni,Kenge
Ingawaje anasura personal na mwendo wa kutisha lakini ana sifa njema;
1. Anapenda Utulivu na mara nyingi ni introvert
2. Hula wadudu na majani.
3. Anapenda amani na hana rabsha.
Popo
Hana mvuto lakini
1. Anaishi kifamilia na wanapenda kushirikiana wao kwa wao.
2. Hula wadudu hatarishi kwa binadamu kama Mbu.
3. Sio wakorofi wala wachokozi kwa viumbe wengine
Hii ni Tofauti na PAKA
Anavutia na sura nzuri lakini
1. Ana pride
2. Sio mtiifu
3. Ana kiburi
4. Ni mdokozi tofauti na Mbwa.
5. Ni msaliti
Umesahau na walamba nyetiHaswa wanaobugia ugoro .... Wamasai na wajinga wajinga walio bobea kwenye ugoro😤😤😤🤣🤣🤪
Na sijui kwanini serikali isiuweke ugoro kuwa ni dawa ya kulevya?!
Hata mimi simpendi,wengine ni fisi,kinyonga na konokonoUlimwona wapi akitema mate kila wakati au hata mara moja? Nakushauri hebu kamwangalie tena vizuri ili uweze kutofautisha baina yatendo la Kutoa ulimi nje na tendo la kutema mate.
liccm ilo na domo lakeHelo JF!
Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.
Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
ma ccmHakuna mnyama mlafi Kama huyu
Anameza hata nguruwe pori mwili wote
Ananigwa mpaka kukosa hewa ila linakazana tu
Hana tofauti na walafi Wetu wa hela
Kuna majitu hayashibi mpaka yanakata kambama ccm
Ni mfano wa viongozi wa Africa... Waroho wa madarakaHakuna mnyama mlafi Kama huyu
Anameza hata nguruwe pori mwili wote
Ananigwa mpaka kukosa hewa ila linakazana tu
Hana tofauti na walafi Wetu wa hela
Black mamba hatari sanahuyuMimi simpendi huyu maisha yangu yote. Ila napenda kutazama makala kumhusuView attachment 3445374
Hawatemi wale wajasiri balaa...🤣🤣🤣🤣 Unakuta limsitu hilooo mtu hajapiga hata maji linazama chumvini khaaaaaUmesahau na walamba nyeti
SanaNi mfano wa viongozi wa Africa... Waroho wa madaraka
Mnyama analiwa akiwa anajiona liveHelo JF!
Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.
Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Fisi na mbwa mwitu nao wana protocal kali, sema kwa macho ya kawaida huwezi kuwaonaSimba ni mnyama mwenye protocol na heshima.
Sio kila binadamu anastahili heshima ili maisha yawe na uwiano.
Kuna watu wenye tabia za mbwa, fisi, nguruwe, simba n.k.
Hata mimi wanachekaga chekaga kama wana nyegeNapenda vipindi vya wanyama ila sipendi kuwaangalia fisi, siwapendi wale wanyama, huyu anafuatia.