Mimi ni mlevi wa kutazama vipindi vya wanyama ila huyu mnyama simpendi

Ni kweli baharini Kuna viumbe wakubwa zaidi Nyangumi na kasa ambao wao ni animalia huzaa na kunyonyesha hawatagi kama samaki wengine.
Ila kwamba Kuna barabara na milima mirefu huo ni uongo mkuu
Pia vitu vya baharini ukiambiwa barabara usiweke picha ya barabara zetu hizi za lami na changarawe au misitu basi ukajua ni mamiti makubwa yenye mzizi ya kutisha la hasha vinakua vimekaa kibahari bahari,
Jisomee elimu hii adimu ya bahari uburudike, ustaajabu na kujifunza mazito.
 
Kuna wamba wanakula wanawake kama komodo na Fisi. Mpaka mwamba anamaliza mwanamke anapitia mateso makali sana.
 
Kuna huyu,kenge,nyoka na mamba dah Hawa siwapendi kinoma.
 
hahhahah
 
kwenye sura mbaya aisee sijawahi kuelewa sura ya KIBOKO ipo kwenye shep gani...sasa utafurah akitanua mdomo.
 
Kajisomee zaidi usifungwe fungwe, unafahamu seamounts? nenda kajisomee kuhusu mlima Mauna Kea, misitu umekubali pia ipo? taarifa zote zipo kiganjani mwako tena mmerahisishiwa kuna akili mnemba unauliza tu kwa lugha yako unashushiwa nondo zote.
Elimu haina mwisho ila nimeishi maeneo ya bahari kiasi fulani
Misitu niliyoiona ni mikoko
Ngoja nitajibidisha kujielimisha
 
Elimu haina mwisho ila nimeishi maeneo ya bahari kiasi fulani
Misitu niliyoiona ni mikoko
Ngoja nitajibidisha kujielimisha
Wana maana ndani ya bahari kwenye kina kirefu, na sio pembezoni au pale ninyi watu wa kawaid msio na vifaa mwaweza kwenda.

Milima pia ipo hata geography ya form two yapo.
Na bahati mbaya watafiti hawajaimaliza bahari, kuna maeneo hawajaweza kufika, so bado kuna mengi ya kujifunza.
 
Chenga kweli wewe,hujui wadudu Wana miguu minne?
Wadudu = Insects. Wanayo miguu zaidi ya 4 e.g. nzige anayo 6, nge 8, tandu anayo zaidi ya 30
Wanyama = Animals. Wengi wana miguu 4, e.g. kinyonga 4, ng'ombe 4 tembo 4...... au pungufu e.g. kuku/ndege anayo 2, nyoka anayo 0 n.k n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…