Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Wewe mtu akitaka kumaliza na wewe anawezaje?Si mngemalizana Pm Mkuu
Nipasuliwe mayai na nani!! Kwani Marry ni mke wa mtu?Naniii mbona unakuwa mgumu kuelewa lakini, mara ngapi tunakukanya kuhusu kuachana na huyu Mary, ngoja upasuliwe hutwo tu-mayai ndo akili zitarudi kwa kichwa πΈ
π€©π€© msijali ni sisi wenyewe tutapambana kutafuta pesa kwa bidii tu twenzetu Mars..Sio bonge la dada!!
Awe bonge nyanya πΉπΉπΉ
Chondechonde msije kuhongana dunia tukakosa pa kuishi wana wa Israel sie..!!π€£
Nije na mabegi yangu au tutayafataga? πΉπΉπΉWe njoo kwangu.
π π intelligent business man asiiona hii
Akupasue Marry mwenyewe, ukifinyiwa kwa ndani na ulivyofilisika sasa hivi unaweza kuzirai kabisa,Marry akapewa kesi ya mauaji bureNipasuliwe mayai na nani!! Kwani Marry ni mke wa mtu?
Kwani mapenzi ya dhati yana ukomo mkuu? Hii ni mpaka kifo kitutenganishe.Leo tena?
Ulitaka kumaanisha nini mkuu!!Marry Diana na wewe kuwa makini sana usimwamini mwongo hata kama akiongea ukweli.
Mh yaishe bwana ila unaringa sana jamaaHata kama ni wewe mkuu ungeringa, ni vile tu hujuiwatu wangapi walikuwa wanamnyatia Marry ila mimi nimetoboa.
Ndiyo kaka me nimechukua hiyo Moja na nishaitambulisha kwa masela wa kitaa tunasubir siku niioe sauti πππKwani mkuu wadau walikuwa wanaweka kweli sauti kule nikasikilize!!!
πππ sawa mkuu hujakutwa na jambo lakini?Kule nilitoka muda tu nasoma visa vya watu walioumizwa na mapenzi πππ
Nimeanza na story ya patrickk "ushawahi kuteswa na mapenzi mpaka ukajiuliza ulikosea wapi"πππππ
Hapana mkuu Hapana.Hilo penzi ni mwendo kasi linakupeleka mputa mputa πππ
Hamna mkuu kwenye maandishi yenu Kuna ujumbe muhimu sana kwahiyo nayapitia tu nipate funzoπππ sawa mkuu hujakutwa na jambo lakini?
Mimi simulizi/visa napenda kuandika tu ila sipendi kusoma vilivyoamdikwa na wengine.
πππ€©ππInakuhusu nini wewe! mambo hadharani
Tunausubiri kwa hamu huo uzi ππNdiyo kaka me nimechukua hiyo Moja na nishaitambulisha kwa masela wa kitaa tunasubir siku niioe sauti πππ
Tukifunga ndoa ya kisela nitaishushia Uzi na mimi