Mimi ni muhuni ila kwako nimetulia ILOVE YOU Marry

Si atokee muebrania mmoja anishow vile mapenzi inakuanga tamu.!! πŸ˜₯

Mayatima wa mapenzi tunateseka sijapentraaaaaaa 😏😹😹
Wewe mkorofi tu ungekua hambo tungekusanua machimbo ya kutosha na sio haya ya hawa watindiga wawili , apeche alolo tia pangu pa kavu kajamba naniπŸ€”
 
Wewe mkorofi tu ungekua hambo mapenzi ungepata ya kutosha na sio haya ya hawa watindiga wawili , apeche alolo tia pangu pa kavu kajamba naniπŸ€”
Marry Diana my love, tangu umchane huyu mywa mbege kwamba hana kazi anashinda jf anachuki sana na penzi letu, ona majina ambayo ametuita hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…