Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

FaizaFixy yule sheikh muiran aliowaita wanawake ni kama mifugo tu kama mbuzi kama kondooo...mkashupaza shingo humu kuwa yule sio muislamu ..haya na huyu amewaita wanawake ni bamia ... Asee wanawake mbona mnadharaulika hivi ...na hivyo ulivyozeeka maana yake hauna thamani kama huyu ndugu katika Imani anavyosema!??
Umeshatekeleza Kwa Vitendo Amri Ya Papa?
 
Pole kama kawa unaendelea kumpiga mtume dodoki ili angalau asafishike ila ndo hivyo tena la kuvunda halina ubani
Sipigi dodoki hapa lete aya inayoruhusu msichana kuolewa
 
Ukweli haupimwi kwa wingi wa wafuasi.
Ukweli unapimwa kwa mafundisho na matendo.

"Mtawa tambua kwa matendo yao"

Na kwa matendo ya mudy hana ukweli, wala nuru yoyote iliyo ongozana nae.

Najua nguvu ya uislamu ipo kweny idadi yenu na hio ndio mentality yenu (muongozeke idadi kuliko dini zingine ili mfanye jihad) mentality yenu ni "the bigger the numbers the greater the strength" hii ideology inawapoteza sana mnasahau the most important thing about religion, religion it's not about numbers, it's about reasoning and faith.

Lamomy
Hio ni according to wewe siko zote wasio amini na wasio na hoja ndio hujibu hoja kwa kejeli, sioni mantiki ya wewe kuleta kejeli kwa vitu ambavyo hujui na huelewi chochote kuhusu Uislam Quran is the truth hata kama mfuasi angekuwa mmoja hilo lishakua proven long ago saiv tunajadili Mimi na wewe hapa kwasababu tayari kuna effect ya Muhammad S.A.W aliijenga toka karne ya 7 na Uislam umefiti leo Hii karne ya 21 tena perfect hatujivunii wingi hio nilikuonyesha tu wewe una hoja gani uskilizwe wewe? Zaid ya matusi tu
 
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.

Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Bado kuna watu wenye akili wanaoamini hizi stori na ngano za alfleila ulela siyo? Endelea tu kama utakavyo. Dini ni chaguo lako ingawa umelifikia bila fikra tekenyeshi na tunduizi mwanangu.
 
Sipigi dodoki hapa lete aya inayoruhusu msichana kuolewa
Aya na najua unazijua sina haja ya kurudia maana haibadilishi chochote kuhusu ukweli wa mudi kubaka kitoto au michezo yake michafu na al hassan na mambo yake meeeingi meusi meusi.
 
Aya na najua unazijua sina haja ya kurudia maana haibadilishi chochote kuhusu ukweli wa mudi kubaka kitoto au michezo yake michafu na al hassan na mambo yake meeeingi meusi meusi.
Nakujibu wewe wa mwisho maana nyinyi maskio yenu yalishatiwa kufuri mioyo yenu ni migumu na kwa muislam yeyote aliyeko humu

1. Hukumu ya jambo lako linalo kutatiza utaipata ndani ya Quran Tukufu, huo ndio msingi wa kwanza wa hukumu ya jambo lako

2. Hadithi yeyote ile inayokinzana na Quran hio usiitumie kufanya hukumu ya jambo lako linakusibu kwa maana ujitumbukiza kwenye makosa hata kama hio hadithi kakupa shehe mkuu unayemuamini ipime kwanza kwenye Quran tukufu.

Quran
45:6 - Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki; basi hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya zake?


Allah Aalam, Kwa mwenye kusikia na kuona
 
kwasababu tayari kuna effect ya Muhammad S.A.W aliijenga toka karne ya 7 na Uislam umefiti leo Hii karne ya 21 tena perfect
Hii sentensi haina ukweli wowote na ni mpumbavu pekee anayeweza kuongea ujinga kama huu, ni kwa sababu mudy kajitengenezea mazingira mazuri ya kutokuwa judged na wafuasi, ndo maana kawafanya mtaahira mkiamini kila litokalo mdomoni kwake.

How does islam fit with this 21th century?
Una akili timamu wewe??

-Sheria za kukata wezi mikono na miguu zinaendana na Human rights za karne ya 21?

-Sheria za kuoa mtoto wa miaka 6 na kufanya nae mapenzi akiwa na miaka 9 zinaendana na Children Rights za karne ya 21?

-Sheria za kushambulia vijiji na ku-force watu wa convert to Islam or pay Jizya tax or die, je hizi sheria zinaendana na Human rights za karne ya 21?

-Sheria za kuua mtu aliyebadili dini (from Islam to other religions) zinaendana na Human rights za karne ya 21?

-Sheria za kupigwa mawe hadi kufa kwa mwanamke aliyefumaniwa, je zinaendana na Human rights za karne ya 21??

Uislamu upi huo unao endana na karne ya 21?

STUPID 🚮
 
Mimi sijawakandia Waislamu.
Ila sioni mwislamu hata mmoja akimpinga Mtume wake kuhusu swala la kuoa mtoto wa miaka Sita na kumwingilia akiwa na miaka 9 hali ya kuwa Mtume akiwa na miaka 54.

Hivi kwa akili yako ya Kawaida tu
Babu wa miaka 54 kulala na katoto ka miaka 9 inaingia akilini kweli ?

Na hakuna Mwislamu anaye ona kitendo hicho ni cha kutisha sana cha kudhulumu haki ya mtoto mdogo.

Nchi nyingi za Kiislamu zinaendelea kutunga Sheria ya kuruhusu vibabu wa miaka 70+ waowe vitoto vya miaka 9 kwa kumwiga mtume wao.

Hakuna Mwislamu yoyote anaye mpinga Muhammadi kwa hicho kitendo zaidi wanamwunga mkono na kumsifu na pia wao wanahamu kubwa ya kumwiga.

Ndio maana nimesema kuwa ni ndoto ya kila Mwislamu kuoa vichanga vya miaka 6 kama mtume wao na wewe ni mmoja wapo.

Nimeishi sana na muslims na nawajua lao ni moja.
Kila alichofanya mtume wao wa pekee Muhammadi nao wanatamani kufanya.

Muslima ni jamii ya ajabu sana.
Ila sishangai mkristo alivyo huwa anaona hata Mungu alijikosoa na kubadilika kutoka kuwa Mungu katili kwa mambo aliyokuwa akiyafanya huko kwenye Agano la kale na kubadilika na kuwa Mungu mwenye upendo kwenye Agano jipya. Mkristo anaona hayo aliyokuwa akiyafanya Mungu kwenye Agano la kale hayakuwa mambo sahihi na ndio maana sasa mkristo humpamba Mungu kwa sifa ya upendo tu.

Na ndio maana hata katika mada hii hautaki kujua huko zamani katika kipindi cha kibiblia mabinti waliolewa wakiwa na umri gani.
 
tumia

commonsense tu sio kila kitu lazima uambiwe na walioandika maandiko,binti anatakiwa aolewe akiwa mtu mzima tayari kuanza maisha yake ya kifamilia nje ya wazazi wake angalau kuanzia umri wa miaka 17 kwenda mbele maana hapo angalau anakua amekomaa kiakili na masomo muhimu ya kuanzia utotoni anakua amemaliza ,mtoto wa miaka tisa anatakiwa alelewe na wazazi wake asome akue ,kitoto cha miaka tisa kinawezaje kuzaa na kulea mtoto
Kumbuka tunazungumzia karne mbili tofauti usilinganishe hali ilivyokuwa karne hiyo ukalinganisha na kipindi tulichopo.
 
Kwa wazazi mtaobahatika kusoma hii post yangu. Kuweni makini na Walimu wa dini huko mnakowapeleka watoto wenu.

Michango ya waumini wengi hapa wanaamoni ni sahihi kumuozesha katoto ka miaka 9. Ambacho nina uhakika nacho hakuna mwenye uthubutu wa kukaozesha katoto kake ila uwezo wa kukapiga miti katoto kako wewe anao vizuri tu.

KUWENI MAKINI KUWENI KARIBU NA WATOTO WENU.
 
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.

Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Dogo, Uislam ni mzigo na kama hujasoma imekula kwako. Muddy mwenye dini yake mwenyewe alikuwa anamla Aisha mtoto wa miaka 9 licha ya kuoa wanawake walia achika na wajane lakini bado alikuwa hatosheki. Jamaa alikuwa firahuni mno.
 
Back
Top Bottom