Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Umeshatekeleza Kwa Vitendo Amri Ya Papa?
 
Pole kama kawa unaendelea kumpiga mtume dodoki ili angalau asafishike ila ndo hivyo tena la kuvunda halina ubani
Sipigi dodoki hapa lete aya inayoruhusu msichana kuolewa
 
Hio ni according to wewe siko zote wasio amini na wasio na hoja ndio hujibu hoja kwa kejeli, sioni mantiki ya wewe kuleta kejeli kwa vitu ambavyo hujui na huelewi chochote kuhusu Uislam Quran is the truth hata kama mfuasi angekuwa mmoja hilo lishakua proven long ago saiv tunajadili Mimi na wewe hapa kwasababu tayari kuna effect ya Muhammad S.A.W aliijenga toka karne ya 7 na Uislam umefiti leo Hii karne ya 21 tena perfect hatujivunii wingi hio nilikuonyesha tu wewe una hoja gani uskilizwe wewe? Zaid ya matusi tu
 
Bado kuna watu wenye akili wanaoamini hizi stori na ngano za alfleila ulela siyo? Endelea tu kama utakavyo. Dini ni chaguo lako ingawa umelifikia bila fikra tekenyeshi na tunduizi mwanangu.
 
Sipigi dodoki hapa lete aya inayoruhusu msichana kuolewa
Aya na najua unazijua sina haja ya kurudia maana haibadilishi chochote kuhusu ukweli wa mudi kubaka kitoto au michezo yake michafu na al hassan na mambo yake meeeingi meusi meusi.
 
Aya na najua unazijua sina haja ya kurudia maana haibadilishi chochote kuhusu ukweli wa mudi kubaka kitoto au michezo yake michafu na al hassan na mambo yake meeeingi meusi meusi.
Nakujibu wewe wa mwisho maana nyinyi maskio yenu yalishatiwa kufuri mioyo yenu ni migumu na kwa muislam yeyote aliyeko humu

1. Hukumu ya jambo lako linalo kutatiza utaipata ndani ya Quran Tukufu, huo ndio msingi wa kwanza wa hukumu ya jambo lako

2. Hadithi yeyote ile inayokinzana na Quran hio usiitumie kufanya hukumu ya jambo lako linakusibu kwa maana ujitumbukiza kwenye makosa hata kama hio hadithi kakupa shehe mkuu unayemuamini ipime kwanza kwenye Quran tukufu.

Quran
45:6 - Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki; basi hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya zake?


Allah Aalam, Kwa mwenye kusikia na kuona
 
kwasababu tayari kuna effect ya Muhammad S.A.W aliijenga toka karne ya 7 na Uislam umefiti leo Hii karne ya 21 tena perfect
Hii sentensi haina ukweli wowote na ni mpumbavu pekee anayeweza kuongea ujinga kama huu, ni kwa sababu mudy kajitengenezea mazingira mazuri ya kutokuwa judged na wafuasi, ndo maana kawafanya mtaahira mkiamini kila litokalo mdomoni kwake.

How does islam fit with this 21th century?
Una akili timamu wewe??

-Sheria za kukata wezi mikono na miguu zinaendana na Human rights za karne ya 21?

-Sheria za kuoa mtoto wa miaka 6 na kufanya nae mapenzi akiwa na miaka 9 zinaendana na Children Rights za karne ya 21?

-Sheria za kushambulia vijiji na ku-force watu wa convert to Islam or pay Jizya tax or die, je hizi sheria zinaendana na Human rights za karne ya 21?

-Sheria za kuua mtu aliyebadili dini (from Islam to other religions) zinaendana na Human rights za karne ya 21?

-Sheria za kupigwa mawe hadi kufa kwa mwanamke aliyefumaniwa, je zinaendana na Human rights za karne ya 21??

Uislamu upi huo unao endana na karne ya 21?

STUPID 🚮
 
Ila sishangai mkristo alivyo huwa anaona hata Mungu alijikosoa na kubadilika kutoka kuwa Mungu katili kwa mambo aliyokuwa akiyafanya huko kwenye Agano la kale na kubadilika na kuwa Mungu mwenye upendo kwenye Agano jipya. Mkristo anaona hayo aliyokuwa akiyafanya Mungu kwenye Agano la kale hayakuwa mambo sahihi na ndio maana sasa mkristo humpamba Mungu kwa sifa ya upendo tu.

Na ndio maana hata katika mada hii hautaki kujua huko zamani katika kipindi cha kibiblia mabinti waliolewa wakiwa na umri gani.
 
Kumbuka tunazungumzia karne mbili tofauti usilinganishe hali ilivyokuwa karne hiyo ukalinganisha na kipindi tulichopo.
 
Kwa wazazi mtaobahatika kusoma hii post yangu. Kuweni makini na Walimu wa dini huko mnakowapeleka watoto wenu.

Michango ya waumini wengi hapa wanaamoni ni sahihi kumuozesha katoto ka miaka 9. Ambacho nina uhakika nacho hakuna mwenye uthubutu wa kukaozesha katoto kake ila uwezo wa kukapiga miti katoto kako wewe anao vizuri tu.

KUWENI MAKINI KUWENI KARIBU NA WATOTO WENU.
 
Dogo, Uislam ni mzigo na kama hujasoma imekula kwako. Muddy mwenye dini yake mwenyewe alikuwa anamla Aisha mtoto wa miaka 9 licha ya kuoa wanawake walia achika na wajane lakini bado alikuwa hatosheki. Jamaa alikuwa firahuni mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…