Mimi ni Muislamu. Nasema HAPANA kwa katiba pendekezwa

Mbna unachanganya frequency humu ndani wewe mambo yanshule wapi na wapi, mambo ya dini wapi na wapi?

utafiti uliofanyika humu jf unaonyesha kwamba wewe na dada yako Claudiaeliakim mnashabikia msichokijua, yamkini ninyi ni mapacha, ndugu wa damu au mtu mmoja mwenye i/d mbili, rais wa jmt kasalimu amri kwa tamko la maaskofu sembuse nyie watu wawili (2-in-1)?
 
Last edited by a moderator:

Unaonekana ulikimbia Milembe wewe, unazidi kubashiri, hivi tokea uanze kubashiri umeambulia nini zaidi ya kujaza server za JF humu ndani? jipange wewe chonga ndoi uje tena.
 

Huyo Eliakim kama unamtaka si umweleze awe demu wako naona unamtajayaja sana, hatuko kushabikia majina ya watu hapa wewe na yeye mna matatizo
 
Mie pia nasema hapana,mpaka tupate kadhi kwanza.

Hiyo Mahakama ya Kadhi mnayoitaka nyinyi ni tofauti na anayoijua Kikwete? Keshasema anzisheni tu na serikali haiwezi kuwaingilia. Sasa mnataka kipi tena?

Inawezekana hata wengine hawajui hiyo Mahakama ya Kadhi itakuja kufanya lipi hasa, lakini bado wanapiga yowe kwamba ije tu.
 

teh...teh...teh.. na hii ni i/d yako ya tatu humu jf dada Claudiaeliakim kweli njia ya muongo fupi sana, hongera mtu 3-in-1 unayeshabikia usichokijua, hakika mwaka huu utaisoma namba na kujifunza nini maana halisi ya uzalendo!
 
Last edited by a moderator:


President elect umekwisha na umefirisika kifikra,unachokifanya wewe ni kutaka kunivunja nguvu nisiendelee kuchangia,kwa taarifa yako umekwama,hujielewi kwa akili zako za kushikiwa umeanza kufananisha watu mweee aka babu wee unikome na tena usinidharirishe kwa kunifananisha na hao unaowawaza wewe.
 
teh...teh...teh.. na hii ni i/d yako ya tatu humu jf dada Claudiaeliakim kweli njia ya muongo fupi sana, hongera mtu 3-in-1 unayeshabikia usichokijua, hakika mwaka huu utaisoma namba na kujifunza nini maana halisi ya uzalendo!

Wewe ndio utaisoma namba hunipati ng'ooo!usilazimishe mambo tena unikome kawaambie hao hao uliowazoea na kama unafikiri utanipata kwa kunitega umeliwa mie siwezi kuona unashabikia mishuzi yako nikakuacha nchi ni yetu sote lazima tuheshimu kama vipi kesho tuonane.
 
Hii nini sasa unataka tuipigie kura?hiyo kaipitisheni kwenye nyumba zenu za ibada mimi nasubiri katiba pendekezwa nipige kura na hicho kipengele chako hakipo endelea kusubiri.
No Kadhi Court is the bottom line.
 
Huyo Eliakim kama unamtaka si umweleze awe demu wako naona unamtajayaja sana, hatuko kushabikia majina ya watu hapa wewe na yeye mna matatizo


Ooohooo jamani nyie tuheshimiane ha ha ha mie najiheshimu na humu sina haja ya kumtaka huyo Elect atanipotezea muda wangu nmuona kama mwana JF mwenzangu ila akiniboa tu namwaga mboga, duuuu nyie mmewaza mbali ha ha ha ha acheni bhana.
 






Asante JK kwa kulionahilo shughuli za dini zibakie kuendeshwa na dini husika, mie sitaki kodi yangu ninayolipa itumike kugharamia mahakama ya kadhi.
 
Ni kweli kwamba kila mtu ana uhuru wa maoni,ila katika hili naona sio sahihi hata kidogo kuchanganya maslahi ya imani yako na maswala ya kitaifa kwa kuwa swala la katiba halina dini ni la watanzania wote,sasa unapotumia dini yako kusema hiki na kile hakijawekwa kwenye katiba pendekezwa na kina maslahi katika imani yako nadhani utakuea umepotoka ndg yangu kwa sababu hebu fikiria kila mtu kwa imani yake aseme kile chenye maslahi kwake na kiandikwe kwenye katiba,itakuwa katiba au kitu gani ?nadhani ujiunge na walio wengi na ukubaliane tu na katiba inayopendekezwa kwa kuwa imetokana na wananchi wenyewe,tafadhali sana kama una ajenda nyingine ndg yangu sema ila hilo watanzania hawaliungi mkono na hawataliunga mkono kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…