Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
- Thread starter
-
- #81
Hiyo inaitwa Maji kujaa na kupwa baharini inasababishwa (!) Mvuto wa mwezi na jua (tides), (ii) Mabadiliko ya joto la bahari (thermal expansion), (iii) Mabadiliko ya kiwango cha maji duniani (sea level rise), (iv) Vimbunga na dhoruba, na (v) Mabadiliko ya mvumo wa maji . Haya mabadiliko ni sehemu ya mzunguko wa asili wa maji katika sayari yetu, lakini pia yanahusiana na mabadiliko ya tabianchi na athari za shughuli za binadamu.Hayapendi kukaa sehemu moja...
...ila ngoja aje!
Kuna wanasayansi wameshakuja na theory kibao za kutengeneza chombo kitakacho kwenda kwa speed ya mwanga ngoja tusubiri bado mapema sana kukata tamaa unajua sayansi inakuwa haraka na inabadirika kila sikuKwamba
muda na nafasi si vitu vya kudumu, Badala yake, vinategemea mwendo wa mtazamaji, einstein alitisha sana
Hapa alimaanisha kwamba muda unabadilika kulingana na kasi ya mtazamaji (kwa mfano, wakati unavyoenda kwa kasi kubwa, muda nao unazidi kwenda taratibu, na mazingira yabadilika kulingana na mtazamaji pia.
- Einstein alikubali kuwa mwanga ni kasi ya juu kabisa, na hakuna kitu kinachoweza kusafiri kwa kasi kubwa kuliko mwanga.
Kwanini mtu akilewa ana kosa balance na wakati mwingine anguka na akijaribu kusimama anahisi kizunguzungu au anaona mawimbi mawimbi anapopiga hatua?Habari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Ninaombeni kazi ndugu zangu
Kwa sasa nipo kibaigwa
0778117626
Hateeb akusikie 😁😁Ni gravitation kati ya dunia na mwezi
Wauza supu hutumia maji ya moto na sabuni kwa sababuTeacher tuelezee kwanini wauza supu hutumia sana maji ya moto na sabuni ili kuosha bakuli zao baada ya kunywewa supu badala ya kutumia maji ya kawaida na sabuni?
Usaili unaanza hapa hapa,😀😀😀
Kwanini mtu akilewa ana kosa balance na wakati mwingine anguka na akijaribu kusimama anahisi kizunguzungu au anaona mawimbi mawimbi anapopiga hatua?
Acha tuoneKuna wanasayansi wameshakuja na theory kibao za kutengeneza chombo kitakacho kwenda kwa speed ya mwanga ngoja tusubiri bado mapema sana kukata tamaa unajua sayansi inakuwa haraka na inabadirika kila siku
Hapa mwalim umefeli, ni hivi :Wauza supu hutumia maji ya moto na sabuni kwa sababu
maji ya moto yanasaidia kuvunja mafuta na uchafu kwa urahisi zaidi, huku sabuni ikissaidia.
Maji ya moto pia husaidia kuua bakteria, kuondoa harufu na uchafu mgumu uliounda tabaka lisiloweza kuondolewa kwa urahisi.
Kitendo cha jua kufuse hydrogen particles kuwa hellium kinaitwajeNakarbisha maswali pia
Kama unaweza kupata eneo ama gofu,anzisha kituo cha kufundisha watoto wadogo kwa 10K kwa mwezi ama chini ya 10K.Habari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Ninaombeni kazi ndugu zangu
Kwa sasa nipo kibaigwa
0778117626
Mfuate alipo ulipie ada mkuu.Hydrolic compression inafanyaje kazi?
Samahani waonaje ukijichanganya gereji,unaweza kuwa fundi mzuri ati,labda kama hutaki kuchafuka na hiki ndo uwaponza wasomi wengi,,kuna jamaa elimu yake la saba anapiga hela ndefu katika sekta hiyo,lkn huwa nashangaa wanawezaje hawa na elimu yao ndogo hivyo.Hydraulic compression inafanya kazi kwa kutumia shinikizo la kioevu (mafuta au maji) kupitisha nguvu katika mfumo wa hydraulic. Kwa kutumia kanuni ya Pascal, shinikizo linapoongezwa katika sehemu moja ya mfumo, linaenea kwa usawa na kusababisha compression ya vitu au sehemu zinazohitaji nguvu kubwa. Mfumo huu unatumika sana katika viwanda, ujenzi, na magari kwa sababu ya ufanisi wake, udhibiti wa nguvu, na uwezo wa kutoa nguvu kubwa kwa matumizi ya kifaa kidogo.
Nimejibu kwa lugha rahisi zaidiHapa mwalim umefeli, ni hivi :
maji ukiyachemsha una lower it is surface tensions hivyo ni rahisi sana kukolea sabuni na kutoa mafuta haraka tofauti na maji ya kawaida.
Nuclear fusionKitendo cha jua kufuse hydrogen particles kuwa hellium kinaitwaje
Nadhani hilo swali si physics per se. Hata vijana wetu wa Geography wanalijibu Uzuri tuMtu na nusu jibu kwanini mbunguni kwa blue
Hata hizo kazi siku hizi zinahitaji connection mkuuSamahani waonaje ukijichanganya gereji,unaweza kuwa fundi mzuri ati,labda kama hutaki kuchafuka na hiki ndo uwaponza wasomi wengi,,kuna jamaa elimu yake la saba anapiga hela ndefu katika sekta hiyo,lkn huwa nashangaa wanawezaje hawa na elimu yao ndogo hivyo.
Nimeuliza tu hakuna sababu yoyoteNuclear fusion
Kwanini umeuliza hili mkuu?
SawaNimeuliza tu hakuna sababu yoyote
0763353035- Ni shule ya kata.Habari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Ninaombeni kazi ndugu zangu
Kwa sasa nipo kibaigwa
0778117626