Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Tatzo umeshazoea mambo ya mbususu,simu yako imehifadhiPole sana...nchi hii haithamini watu wa science alafu wanataka kuwa dona kantriii π€£π€£π€£
Watu kama wewe mlipaswa moment mpo chuo tuu tayari kazi mnayo.
Njoo nikuoe bodaboda hapa kitaa upige mishe anagalu ten kwa siku hukosi
Huyu bado ni tunu,sema ni mvivu kama mimi kutafuta ajira au kufanya kaziIts painful sana,mi namwonea wivu pia,mi niliyajaribu hayo masomo lkn siku fanikiwa at high level,.,namba ilikuwa tamu sana,lkn najiuliza au jamaa kuna mahala alijikwaa nini!!!,maana naona kuna mengi angeweza fanya tokana na haya masomo kuwa hot cake katika nyanja nyingi,na kwenye uhasibu watu hawa huwa wanapeta sana kwasababu yakujua nambazi.
Ungeaujust ikawa 3.8 ungejiongezea vigezo vya kuajirikaHabari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Ninaombeni kazi ndugu zangu
Kwa sasa nipo kibaigwa
0778117626
Hateeeb jau sana huyo jamaaHateeb akusikie ππ
Maswali ya kitoto haya katika mada za seriously mkuuKitendo cha jua kufuse hydrogen particles kuwa hellium kinaitwaje
Mavi yaoooo ππNadhani hilo swali si physics per se. Hata vijana wetu wa Geography wanalijibu Uzuri tu
Safi mkuu...Nadhani ulitaka kusema kuwa magari ya formula one yana centre of Gravity 'ndogo sana'. Yaani urefu toka ardhini mpaka uguse gari ni pafupi sana ukilinganisha na magari mengine ya kawaida. Hence, the shorter the centre of Gravity, the stable of the vehicle becomes.
Elasticity of materials.Kwanini ukithrow mpira kwenye maji haudundi kama unavyodunda kwenye ardhi ?
The density of cubes in quadratic equipments it makes a total of redundacy of tubes in chemicals. DISCUSS (10 MARKS)Elasticity of materials.
WanakwmbiaTumia mahesabu ya QUADRATIC EQUATION kujipatia maokoto lukuki kama Bwana wangu Poor Brain.
He is genius and determined to physics and so on.
Ni moto chini.
πππππ Daaah kuwa seriously na maswali yako..The density of cubes in quadratic equipments it makes a total of redundacy of tubes in chemicals. DISCUSS (10 MARKS)
UMESOMA CHUO GANI?Habari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Ninaombeni kazi ndugu zangu
Kwa sasa nipo kibaigwa
0778117626
Afu wanakwambia tena,Wanakwmbia
Its impossible to determine simultaneously both velocity and momentum of me
πππ nipige nikupeleke jelaπππππ Daaah kuwa seriously na maswali yako..
Takupiga wewe
When pressure kept constant the velocity of particles in planks condition the hyperspace of materials and vaccume remain unstoppable.... 1/2VCΒ²Afu wanakwambia tena,
The level of water in motionless ratio can keep tye liquid under limitless pressure of me
Mi na jela kama 20 na twenty siogopi..πππ nipige nikupeleke jela
Kwanini matairi ya gari ni meusiNakarbisha maswali pia
πππ naomba unikomeWhen pressure kept constant the velocity of particles in planks condition the hyperspace of materials and vaccume remain unstoppable.... 1/2VCΒ²
ππππππππ njoo unikomeshe nakusubiri kwa hamu zoteMi na jela kama 20 na twenty siogopi..
Ila mwaka huu nataka nikukomeshe chogo