Mimi ni mwanabaiolojia na huu hapa ndio uthibitisho wa uhalali wa Mungu(2)

Nikikwambia mtu ni wazo tu, utasemaje?
 

Hivi ni unafanya kusudi au unashindwa kung'amua hoja kweli?

Nitafutie kwenye hayo maelezo yake sehemu aliyotaja roho?

Eti hatuwezi kupokea hoja zisizo halisi 'mawazo'! Yaani umethibitisha dhahiri hujui hata biopsychology inaelezea nini

Mr/Mrs/Ms. Uhalisia, hebu tufafanulie na haya yasiyo halisi ambayo ni sumu kwenye sayansi yaliingizwaje: au yalinyweshwa antidotes?

Kwenye concept ya inertia kuna centrifugal force, tuelezee kwamba hicho ni kitu halisi na siyo imaginary, eti hoja zisizo na uhalisia ni uzushi na sumu ya kweli kwenye sayansi asili!

Tuelezee kwamba gravitational force ambayo ni nguvu mfu huwa inafundishwa kwenye civics na siyo sayansi asili na ni kitu halisi na siyo fiction

Unafahamu twin paradox ni nini? Ni wazo halisi au la kubuni? Linafundishwa kwenye theology au sayansi? Acha kukariri, tulishatoka huko zamani
 
Waweza kunitajia moja ya mapungufu makubwa ya sayansi? Kwa nini baadhi ya scenario/phonemena/mystery ni halisi na matawi yote ya sayansi hayawezi kuzieleza? au yatajitutumua kueleza lakini kutakuwa na mkanganyiko, au itaeleza lakini haitafukia mashimo kibao, kwa nini wanasayansi hatutaki kukubali kwamba hii fani nayo ina inferiority?
 
Ambiere, herehowa!
 
Nikikwambia mtu ni wazo tu, utasemaje?
Nitasema upo mbioni kuelekea kwenye ukweli; maana si 'wazo tu' bali ni wazo hai, wazo lenye kuwaza mawazo mbalimbali, wazo linalojielewa.
 
Nitasema upo mbioni kuelekea kwenye ukweli; maana si 'wazo tu' bali ni wazo hai, wazo lenye kuwaza mawazo mbalimbali, wazo linalojielewa.
Sasa kama wazo linaweza kuwaza, utajuaje kama kuna zaidi ya wazo kwa sababu ya kuweza kuwaza?
 
Ahaa.

Kwa hivyo umeridhika bila kujua?

Au hujaridhika unataka mjadala zaidi?

Haya mawili ni mambo tofauti naona kama umeyachanganya pamoja.
Nimeedit baadaye kuonesha tu hatua za kupanuka kwa ujuzi na kadri tunavyojielewa ipo hivi.

1.MwanasayansiMtoto - Matter makes everything matter is everything
2.Mwanasayansi Mkubwa - Energy makes matter all is actually condensed energy E=mc2
3.Mwanasa..... no Huyu labda tumuite.. anyway nevermind yeye anasema - Idea made energy energy is actuall condensed idea and matter a manifestation thereof😎
 
What is "idea" ?
 
What is "idea" ?
Meditate bro, meditate on that.

That question is best answered [or not answered] by you. Make sense out of that 'thing'. See I only appeal to sense. YOUR sense tells you what?
 
Find the truth and the truth shall set you free, you are a grown man, why be afraid of the light?

Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. Yn 4:23-24
 
Meditate bro, meditate on that.

That question is best answered [or not answered] by you. Make sense out of that 'thing'. See I only appeal to sense. YOUR sense tells you what?
I am asking you. JF is for dislogue, not for meditation.
 
Kiuhalisia huko unapotea. Hisia sio kitu kizuri kwenye njia ya kupata na kukubali ukweli, jizuie. Jaribu kuongozwa na ushahidi. Follow the data, not feelings and/ or emotions.
 
Kwa vile hukusoma chini hutonielewa. Uvivu wa kusoma au prejudice yako zimetupishanisha. JF ni copy. Kuna forums nyingi zenye format kama hii. Swala lilianzia mambo ya uumbaji. Kutoa nakala sio kuumba. Founders wa hii sio waumbaji. Blah blah blah.... siwezi kurudia tena.

Kama uelewa wako uko parallel na wangu hatuwezi kuelewana.
 
Sijaelewa. Unadhani hizo forces ni fiction? Kama ni hivyo hujui chochote.
 
Upungufu mkubwa wa sayansi kama taaluma ni mapungufu yetu binadamu. Uongo, ubinafsi, tamaa, uoga n.k... elimu ya mambo asilia inaweza kutumika Vibaya au vizuri. Kujadili mambo hapa ni faida. Wewe kutukana na kuonyesha ushenzi wako na kukarahisha ni hasara tunayolipa. Yote yamewezeshwa na sayansi. Mambo yote mazuri (mengi sana kuorodhesha maana ni kila kitu kinatokana na maendeleo ya sayansi) unayoona leo yametokana na elimu au ujuzi wa kisayansi na sio imani!

Najua hutaelewa kama kawaida.
 
Unajifanya kukwepa kumbe unajipiga ngwala mwenyewe

FOUNDERS wa JF siyo waumbaji, yaonyesha hufahamu maana ya neno CREATOR

Ugh, haina haja kwanza umeshafunga mjadala

Ahsante kwa majibu yako

JF ina FOUNDERS, JF haijatokea tu yenyewe

HITIMISHO: Universe na vilivyomo ndani yake yupo aliyesababisha vikawepo, haviwezi kuwa vimetokea tu vyenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…