Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie


Umelogwa,.Gwajima hawezi kukusaidia,.Mkimbilie Mungu
 
Hakuna kitu inamvuruga mwanaume kama kutambua anachapiwa! ndio maana member mwenzetu anaona nafuu kunywa sumu
Haha ukikumbuka kile kitumbua kinavonata nata mda huu kinavurugwa na mjeda bila huruma aliye na mihela wa pale kambi ya monduli au makiyuni
 
Hanipigi ila kamtoa mtoto shule kwa kudanganywa.Nilipanga nimdhuru ila nimeleta na kuomba msaada hapa wadau.Naomba mumtagi waziri Gwajma. Mimi nimeamua kuleta malalamiko hapa mana naamini waziri yupo hapa na wadau wote mpo hapa
 
Haha ukikumbuka kile kitumbua kinavonata nata mda huu kinavurugwa na mjeda bila huruma aliye na mihela wa pale kambi ya monduli au makiyuni
Ukianza kuitengeneza Ile taswira akilini.. kwamba mama watoto anatoa staili zote Kwa afande, na kwamba afande anapakua mama watoto kisa wewe ni kapuku! Hakika mheshimiwa waziri aingilie kati tu!
 
Una uhakika mtoto ni wako mkuu. Na mtoto kutolewa shule ndo unataka kujiua?


Ulioa kabla ya kukomaa kiakili mkuu
Mkuu ukimwona mwanangu umeniona mimi. I'm sure 100% ni wangu.
 
Naomba hili jukwaa liwe msaada kwangu wadau.Mpaka nakuja hapa nipo na shida wakuu nisaidieni.
Pole sana mwalimu

Jipe nguvu mtumish

Waliojiua wanajuta sana huko waliko
Usifanye hivyo tafadhari
 
Njoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Hakika dada Dr. Mungu akutunze, kila WAZIRI ingekuwa active namna hii, na kufanya kazi kwa moyo na Upendo kwa watanzania pasipo ubaguzi, taifa lingekuwa mbali Sana, Lissu asingekuwa gerezani kwa makosa ya kusingizia, uchaguzi ungekuwa sehemu muhimu Sana ya kupata viongozi na kupongezana kwa wanaochaguliwa na wananchi, lakini ndiyo hivyo tena, uongozi imekuwa kama ujasiriamali, watu wanaua, na kusingizia kesi wengine kwa sababu ya kusaka nafasi ya kujivunia rasilimali za nchi yetu!
Kwako, ni tofauti kabisa, imekuwa muungwana, mwenye kusilikiliza watu wote, (pasipokujali hadhi zao)
Hakika unapunguza maumivu yatokanayo na yanayoendelea!
 
Kwa vile huyajui mazingira unaweza ukanihukumu hivyo ndugu.Mtoto wangu anakuaje na vyeti viwili vya kuzaliwa? Na niliviona.Je ningemdhuru huyu mwanamke si ingekula kwangu?
Dah! Changamoto hii mkuu.
Nakupongeza kwa uvumilivu wako kwenye hili.
Inaonesha kuna mengi mazito.

Ina maanisha mtoto ana baba wawili sio?
Hapo kuna bomu linakuja, once a hoe always a hoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…