Aiseeeh!Hanipigi ila kamtoa mtoto shule kwa kudangqnywa.Nilipanga nimdhuru ila nimeleta na kuomba msaada hapa wadau.Naomba mumtagi waziri Gwajma. Mimi nimeamua kuleta malalamiko hapa mana naamini waziri yupo hapa na wadau wote mpo hapa
2019 alitoka akaacha chumba chake wazi nikaingia nikafunua droo nikaona hivyo vyeti.Hicho chumba hua anakifunga mda wote.Dah! Changamoto hii mkuu.
Nakupongeza kwa uvumilivu wako kwenye hili.
Inaonesha kuna mengi mazito.
Ina maanisha mtoto ana baba wawili sio?
Hapo kuna bomu linakuja, once a hoe always a hoe.
Mwanaume acha kulia lia, chukua maamuzi magumu.Wasalamu.
Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.
Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.
.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni mwanaume ninayenyanyaswa. Nimelipa ada kamtoa mtoto shule bila Ridhaa yangu.
Asante sana comrade,Octoba tunatikiNjoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Ulichukua hatua gani baada ya kugundua hilo?2019 alitoka akaacha chumba chake wazi nikaingia nikafunua droo nikaona hivyo vyeti.Hicho chumba hua anakifunga mda wote.
2019 alitoka akaacha chumba chake wazi nikaingia nikafunua droo nikaona hivyo vyeti.Hicho chumba hua anakifunga mda woteDah! Changamoto hii mkuu.
Nakupongeza kwa uvumilivu wako kwenye hili.
Inaonesha kuna mengi mazito.
Ina maanisha mtoto ana baba wawili sio?
Hapo kuna bomu linakuja, once a hoe always a hoe.
Niliwaambia wazazi wake hawajujibu chochoteUlichukua hatua gani baada ya kugundua hilo?
Sikupenda kuyasambaza sana mana wazazi wangu hasa mama ana ugonjwa wa Moyo.Naogopa kumpoteza mama yangu2019 alitoka akaacha chumba chake wazi nikaingia nikafunua droo nikaona hivyo vyeti.Hicho chumba hua anakifunga mda wote
Niliwaambia wazazi wake hawajujibu chochote
Kabla ya wazazi mlengwa ulivyomwuliza alikupa jibu gani, inaonesha hukuridhika na jibu lake.2019 alitoka akaacha chumba chake wazi nikaingia nikafunua droo nikaona hivyo vyeti.Hicho chumba hua anakifunga mda wote
Niliwaambia wazazi wake hawajujibu chochote
"Uongozi bora haupimwi kwa vyeo, bali kwa matendo yanayobeba maisha ya wengine. Mheshimiwa kazi yako imenifundisha maana ya uongozi wa kweli."Njoo sms 0765 345777 tafadhali copy tuma huu ujumbe huko. Ila kesho ndiyo nitasoma na kukupa afisa wa kukusikiliza. Shukrani
Unapo sema kipato chako duni kwani hulipwi mshahara?.Wanaojua kutagi naomba mumtagi Dr Dorothy Gwajma.Ni mwanaume ninayeonewa sina pa kusemea
Kama jina lako na akili zako zinafanana hivijambo la msingi mwache unataka kujiua kwa starehe za wengine
Ukute mwanamke ni bonge la pisi la Kiiraki,jamaa moyo unamuuma mwanajeshi kujilia mali huku yeye akinyimwa mzigo ndani na anamsukiliza mwanajeshi kuliko mumewe,ukizungatia na mke ni mwalimu aloooh!usijiuwe mkuu, achana na mkeo
Kataa ndoa wana hoja wasikilizwe ma wazingatiwe π π
Daah kichapo sio poa kabisa ndo maana walimu wanakujaga na mahasira SHULENI kumbe home kichapo kinagaiwa duuhKataa ndoa wana hoja wasikilizwe ma wazingatiwe π π