Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Mbona siku hizi watoto wa kiume wanakuwa laini laini sana.....yaani mkuu unataka kujitoa uhai kwa jambo dogo kama hili......hebu ushike moyo wako kama mwanaume bhana
 
Kwani kuachana mahali shilingi ngapi?
 
Mm yule msenge ndio aliniachia binti yangu ila nashukuru bibi yake anamlea aneonjoy life

Sasa ameanza kutuma meseji anataka kuzaa tena anamanisha nimpige pumbu😬
 
Dunia inaenda kasi sana...yni mwanaume unalia kusalitiwa ni maamuzi huwezi kufanya au?aibu naona mm😀😀
 
Dunia inaenda kasi sana...yni mwanaume unalia kusalitiwa ni maamuzi huwezi kufanya au?aibu naona mm😀😀
Unaweza ukasema unachukua maamuzi yakawa mengine.Pia kumbuka mimi nipo Halmashauri nyingine kikazi hatukai nyumba moja mkuu.Nilikua naenda weekend nikaona nisitishe kutokana na vurugu zake
 
Wengi wataniona mimi ni mjinga lakini mpaka naandika hapa najua jukwaa hili lina wajuzi wengi.
 
Naogopa mana baba yangu mdogo nilimuona amejiua 2000 kwa kujinyonga.Na huenda alikaa na matatizo yake bila kumwambia mtu.Sioni aibu kuweka shida yangu kwa waelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…