Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

tunapangwaga sana humu
 
weka picha tuone ulivovaa
 
Kwa hizo sifa ulizozitaja hapo juu no wonder wanakupenda as long as hunuki kikwapa sifa zote Ni njema kabisa..
Samahan mkuu sku ile nlikuuzi!! Kutonuka kikwapa tu inatosha kupendwa na madem wakali jaman?? Au labda Ana dawa au mkuyenge mkubwa na mzto,huwa anawapa raha
 
Hata maisha ni ya kawaida tu. Wazee sio maarufu wala nini.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
nyota, tabia, vision zako nk
wanawake wanapenda wanachosikia kuzidi wanachokiona , ndio maana hata ukigombana nae ataanza kusema uliniahidi hiki, ulisema hivi au vile japo matendo yako yalikuwa clear kuanzia mwanzo kuwa humuhitaji kwahiyo huenda una maneno mazuri, machache lakini mazuri.
Pia kuna wanawake ambao wao wanapenda challenges especially good girls, huamini wewe ni assignment aliyopewa na Mungu kukubadilisha, hawa unakuta anapigwa, anatukanwa hakomi yupo.
Wengine u serious wako na kuwa rough kwako anaamini hauna mambo mengi, na wanawake wengi hawatovutiwa na wewe kwahiyo anakua na imani utakuwa wa kwake peke yake bila kujua wapo wanawake wengine wenye mtazamo kama wa kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…