Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Duuuh! Ningumu kwa mwanamke kukupenda ikiwa huna kitu, sio smart n.k, kuna mdau mwandende kaliongelea hili.

Ila issue yako inawezekana. Ni mambo ya mvuto, upp rafu ila una mvuto, hiyo ipo, aidha ni handsome n.k

Hongera japo kuna watu humu ni kama wana wivu hivi, neglect them.
 
Kweli mkuu
Lkn ni watu ambao haeleweki, Kuna rafk yng flan aliwai kuwa na bint flan kweny mahusiano kiukwel mwana alikuwa rough vbay mno Yan ni kijana lkn mikato yake Kam mzee ni mtu flan anapiglia mibwanga na vitaa na mishati over size
Yule dem alikuwa ni mwanachuo huwez Amin alimbadilisha mshkaj kwa kias kikubwa mno

Dem alkuwa anamnunulia mwana nguo, sabun mapafyun zaga nyingi tu
Kiukweli mwana alibadilika akawa anashine Kama kijana wa kisasa na mikato ya kijanja

Lkn huwez amini baad ya dem kumbadilisha mwamba alimuacha na kwenda kwa mwamba mwingine Tena kwa dharau na nyodo kibao

Mshkaji aliteseka Sana
Hawa viumbe hawaeleweki na usikubali wakubadilishe wanavotaka wao.
 
Kabisa
 
mwanaume pata pesa tujue tabia yako, mwanamke ukikosa pesa ndio utajua tabia yake. Shida wanawake wengi sikuhizi wanaogopa kuanza na mtu chini akihofia akipata pesa atamuona hafai na kutafuta wanaoendana nae kwa mda huo
 
Wanakupenda wale wachafu wenzio..... Mwanamke msafi awez ambatana na mwanaume mchafukoga, meno njano, magaga, nywele mnyonyoko
 
Wanakupenda wale wachafu wenzio..... Mwanamke msafi awez ambatana na mwanaume mchafukoga, meno njano, magaga, nywele mnyonyoko

Namjibia[emoji116][emoji116]

"Hujaelewa uzi. Mimi ni rough ila si mchafu. Hujui tofauti ya rough na mchafu. Nguo zangu ni safi anytime though sipangilii a k a kutupia. Nywele ni safi japo naziacha ga idle, na sio kipili pili. Hope umeelewa sasa, au ulikimbia umande?!"[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…