Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Atakaposhangaa sasa yeye ndio akaliwa. Hizi Fake Ids naona zinawavimbisha sana watu humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakaposhangaa sasa yeye ndio akaliwa. Hizi Fake Ids naona zinawavimbisha sana watu humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msamehe namuombeaAtakaposhangaa sasa yeye ndio akaliwa. Hizi Fake Ids naona zinawavimbisha sana watu humu.
Shehe Yahaya
Oooooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shehe Yahaya
Sasa kilichokuleta ni nini? Umeitwa au shobo zako?We jamaa nyuzi zako in za kifala sana[emoji706]
To ba !!Sasa kilichokuleta ni nini? Umeitwa au shobo zako?
Kama vipi ni block. Kabila gani wewe?[emoji23][emoji23]
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Shkamoo mama mdogoWewe umejidharaulisha mwenyewe, jifunze heshima ni kitu cha bure.
Endelea kupiga usingizi Mkuu kuota maana jana ulirudi usiku
Vyovyote uonavyo. Acha umaku. Kama humuelewi mtu just block.To ba !!
Tukuweke studio na Dida !?[emoji23]
Duuuh! Ningumu kwa mwanamke kukupenda ikiwa huna kitu, sio smart n.k, kuna mdau mwandende kaliongelea hili.Habari wanaJF.
Niende kwenye mada, kumekuwa na misemo humu kuwa wanawake wanapenda mwanaume smart, mcheshi na mtundu na sifa kede kede.
Kwangu mimi ni tofauti kabisa, kwanza sina ucheshi(kutabasamu, kucheka wala kuongea ni kwa nadra sana).
Pili mimi sio smart kimavazi. Sio smart kabisa. Ila ninachohakikisha ni kuwa mavazi yangu sio machafu na hayanuki. Kupiga pasi pia na mimi ni paka na panya. Yaani ni rough mno kiujumla hasa kimavazi.
Pia mimi sipo romantic na sipendi kuzoeana sana na wanawake japo wao wanataka sana kunizoea.
Nina sura kavu kidogo yenye tabasamu adimu mno, sipendi stori na wasichana na sipendi utani nao.
Ajabu ni hii[emoji116][emoji116]
Wananikubali sana, huwa sihongi ila nimewala wengi mno tena warembo hasa. Na wengi wanajipendekeza sana kwangu, wengine wake za watu wengine masista duu..
Sasa najishangaa wanapenda nini? Nikisoma kwenye vitu ambavyo huvutiwa navyo mimi sina hata kimoja, japo sio mfupi ni mrefu kiasi.
Kwa kweli najishangaa mno, nimewakataa wengi sana na wengi bado wananikubali.
Nimewahi kupata convos zao kwa msg wakiniongelea. Aisee wamenisifia na kunipamba mpaka naona aibu sasa wakati mimi niko very normal.
Jamani hapa shida nini? Siifurahii hii hali.
Karibuni.!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Kweli mkuuwanawake wanatofautiana, kuna mwanamke anauwezo wakuona uzuri wako, na mambo makubwa ambayo unatakiwa au utakuja kuyapata kabla hata wewe hujayawaza.
Kuna mwanamke akikupenda atakubadilisha mpaka ukashangaa, nguo akakununulia, akakupasia, akakufulia, akakupiga taf mtaji katika biashara etc
KabisaKweli mkuu
Lkn ni watu ambao haeleweki, Kuna rafk yng flan aliwai kuwa na bint flan kweny mahusiano kiukwel mwana alikuwa rough vbay mno Yan ni kijana lkn mikato yake Kam mzee ni mtu flan anapiglia mibwanga na vitaa na mishati over size
Yule dem alikuwa ni mwanachuo huwez Amin alimbadilisha mshkaj kwa kias kikubwa mno
Dem alkuwa anamnunulia mwana nguo, sabun mapafyun zaga nyingi tu
Kiukweli mwana alibadilika akawa anashine Kama kijana wa kisasa na mikato ya kijanja
Lkn huwez amini baad ya dem kumbadilisha mwamba alimuacha na kwenda kwa mwamba mwingine Tena kwa dharau na nyodo kibao
Mshkaji aliteseka Sana
Hawa viumbe hawaeleweki na usikubali wakubadilishe wanavotaka wao.
Kwa maelezo aliyotoa utakuwa ushajua the way he is roughWekapicha
mwanaume pata pesa tujue tabia yako, mwanamke ukikosa pesa ndio utajua tabia yake. Shida wanawake wengi sikuhizi wanaogopa kuanza na mtu chini akihofia akipata pesa atamuona hafai na kutafuta wanaoendana nae kwa mda huoKweli mkuu
Lkn ni watu ambao haeleweki, Kuna rafk yng flan aliwai kuwa na bint flan kweny mahusiano kiukwel mwana alikuwa rough vbay mno Yan ni kijana lkn mikato yake Kam mzee ni mtu flan anapiglia mibwanga na vitaa na mishati over size
Yule dem alikuwa ni mwanachuo huwez Amin alimbadilisha mshkaj kwa kias kikubwa mno
Dem alkuwa anamnunulia mwana nguo, sabun mapafyun zaga nyingi tu
Kiukweli mwana alibadilika akawa anashine Kama kijana wa kisasa na mikato ya kijanja
Lkn huwez amini baad ya dem kumbadilisha mwamba alimuacha na kwenda kwa mwamba mwingine Tena kwa dharau na nyodo kibao
Mshkaji aliteseka Sana
Hawa viumbe hawaeleweki na usikubali wakubadilishe wanavotaka wao.
Wanakupenda wale wachafu wenzio..... Mwanamke msafi awez ambatana na mwanaume mchafukoga, meno njano, magaga, nywele mnyonyokoHabari wanaJF.
Niende kwenye mada, kumekuwa na misemo humu kuwa wanawake wanapenda mwanaume smart, mcheshi na mtundu na sifa kede kede.
Kwangu mimi ni tofauti kabisa, kwanza sina ucheshi(kutabasamu, kucheka wala kuongea ni kwa nadra sana).
Pili mimi sio smart kimavazi. Sio smart kabisa. Ila ninachohakikisha ni kuwa mavazi yangu sio machafu na hayanuki. Kupiga pasi pia na mimi ni paka na panya. Yaani ni rough mno kiujumla hasa kimavazi.
Pia mimi sipo romantic na sipendi kuzoeana sana na wanawake japo wao wanataka sana kunizoea.
Nina sura kavu kidogo yenye tabasamu adimu mno, sipendi stori na wasichana na sipendi utani nao.
Ajabu ni hii[emoji116][emoji116]
Wananikubali sana, huwa sihongi ila nimewala wengi mno tena warembo hasa. Na wengi wanajipendekeza sana kwangu, wengine wake za watu wengine masista duu..
Sasa najishangaa wanapenda nini? Nikisoma kwenye vitu ambavyo huvutiwa navyo mimi sina hata kimoja, japo sio mfupi ni mrefu kiasi.
Kwa kweli najishangaa mno, nimewakataa wengi sana na wengi bado wananikubali.
Nimewahi kupata convos zao kwa msg wakiniongelea. Aisee wamenisifia na kunipamba mpaka naona aibu sasa wakati mimi niko very normal.
Jamani hapa shida nini? Siifurahii hii hali.
Karibuni.!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Alf magaga huwa yanachana neti balaaWanakupenda wale wachafu wenzio..... Mwanamke msafi awez ambatana na mwanaume mchafukoga, meno njano, magaga, nywele mnyonyoko
Yani tena neti zetu hizi za kisasa ni laini kweliAlf magaga huwa yanachana neti balaa
Wanakupenda wale wachafu wenzio..... Mwanamke msafi awez ambatana na mwanaume mchafukoga, meno njano, magaga, nywele mnyonyoko