makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sahihi, ndio maana nika
Kulinganisha mchezaji kwa game moja moja unaweza ukakuta kuna game kibu ana takwimu nzuri kuliko cr7 😂
Pia kwenye hizo ngoma 2, mie binafsi bado natembea na walk it off.
kwambia kulinganisha ngoma moja ni kumkosea mtu adabu.Mimi skusema nani mkali mkuu hapo tunazungumzia nyimbo mbili tu.
Walk it off na Nusu Nusu
Kulinganisha mchezaji kwa game moja moja unaweza ukakuta kuna game kibu ana takwimu nzuri kuliko cr7 😂
Pia kwenye hizo ngoma 2, mie binafsi bado natembea na walk it off.