Mimi ni shabiki wa Fid Q lakini Joh Makini kashinda

Bila haya kuanzia Aya ya Kwanza umeamua kupotosha watu ili kutimiza kile unachokiamini....

Umesema Fid Hana MIWA mingi... Kwanza ncheke... Unamzungumzia Fid gani Kwanza? Ok ntaitaja MIWA ya Fid huko mbele huenda umeisahau kama sio umeidharau.

Umesema Fid Q alibebwa Sana na beat za bongo record Chini ya p-funk majani... Lakini nikukumbushe Tu Ngoma uliyomueka Fid Q kwe ramani ni "Fid Q. Com" ambayo aliirekodi pale Baucha Record Chini ya Castro Ponera... Baada ya huyu jamaa kupata matatizo na kufungwa jela ndo Fid alihamia bongo record... Ndo maana hata Ngoma ya chagua moja ilibidi aliirekodi upya bongo rekodi japo ilikua imefanywa Baucha mara ya kwanza na hii inshu ndo ilileta bifu zito Kati ya Fid na Rado... Maana walipoirudia Rado alitengwa....
Kwahiyo kumbe Fid alishajulikana bila kumtegemea majani ..
Umenifurahisha uliposema Joh alikataa kusainiwa bongo rekodi Kwa majani lakini mwishoni umesema angetisha Sana kama angerekodi na majani... Kwahiyo kumbe bado unaamini kuna vitu anamiss...

Umesema baada ya Diamond kutoka kimataifa Joh Naye alitoka Kwa kurekodi na wasanii wa mbele kumaanisha kua anakubalika huko mbele... Hebu jiulize Kwanini KO alikataa kolabo ya "don't bother" Hadi vee money alipomuunganisha Kwa AKA lakini Ngoma iliishia wapi!?
Lakini ukweli ni kua Fid Ngoma yake ya professional ni international song bila kolabo....

Umesema Joh alitisha verse nyingi Tu za kolabo kama vile "sikati Tamaa remix" lakini ukweli mchungu ni kua hiyo Ngoma Joh aliimba nje ya beat na hiyo inshu ilipekea bifu baridi Kati yake na Darasa baada ya Joh kudai kua alifanyiwa hujuma na mbaya zaidi KingZilla aliwapoteza Sana....

Umetaja Pini za Joh... Sasa pitia hii List halafu unambie kama Joh anastahili hata kulinganishwa na Fid kuanzia rap style, midundo Hadi uandishi (lyrics)
1. Chagua moja
2. Mwanza mwanza
3. August 13
4. Ni hayo Tu
5. ielewe mitaa
6. Ripoti za mtaani
7. Propaganda
9. Bongo hip-hop
10.Usinikubali haraka
11. Shimo limetema
12. Neno
14. Sihitaji marafiki
15. Mwanamalundi
16. Watapata Zero
17. Sumu

Mwisho kabisa umesema Joh kalisimamisha kundi la Weusi lakini unaamini Fid asingeweza.... Nikwambie Tu Fid hajawahi kua na kundi coz "Fid ni Jeshi La Mtu Mmoja"....

Nipe "quotes" tano Kali kutoka kwenye Ngoma zaJoh nikuoneshe mbuzi anayetaga
Kwanza nikueleze mm namkubali sana Fid lakini sio kwa kumlinganisha na Joh.

Yes Fid hana miwa mingi, ww umeorodhesha tu nyimbo zake nyingi mm nazungumzia "miwa", ile ambayo ikipigwa kunakuwa na "woow effect"

Yes Fid alibebwa na studio kubwa, unasema ngoma iliyomtambulisha fid ni fid q dot com? Fid ametambulika na kujulikana nchi nzima kabla ya fid q.com, wimbo wa Huyu na yule ndio ulimtambulisha hiyo .com ilifata baadae sana. Huu wimbo wa huyu na yule alimshirikisha Mr. Paul na aliirekodi MJ. Pata tu picha ili Fid aweze kusikika mjini ilibidi msanii mkubwa sana wa wakati huo mr. Paul aombwe kushiriki wimbo na ilihitaj studio kubwa Kama MJ

Kwa Joh ni story tofauti kidogo, inspector haroun alikua msanii mkubwa sana miaka hiyo tuseme ndio alikua diamond, baada ya kumsikia joh alirap studio alimkubali sana na akamuomba joh aweze kumsaidia kushiriki wimbo wake ili kumfanya aweze kufanya vizuri. Lakini joh alikataa, hii iliwashangaza hata wasanii wengine, inakuwaje mtu ambae hajulikani na hajarecord hata wimbo mmoja anapata bahati ya kukubalika na msanii mkubwa sana kama inspector lakini anakataa.
Hadi hapo utaona nani jeshi la mtu mmoja

Fid mwenyewe aliwasikia joh na lord na akawakubali sana kabla hata hakuna anayewajua. Ndio maana kwenye huo wimbo wake wa Fid.com unaosema, aliwataja rejea mstari wa "Nawafunika funika kama lord eyes...."

Paragraph inayofata sijaelewa unamaanisha nn. Unamaanisha wapi ilipofika don't bother?
Unasema I'm professional ni international song? Kivipi?
Alafu mbona umeruka Davido kumkubali sana Joh, Hadi akamtafuta wafanye wimbo?

Umezungumzia sikati tamaa remix, unapomshirikisha msanii kweye wimbo wako, ww mwenye wimbo kufatilia mixing na vingine ni jukumu lako, Joh alishaingiza vocal hayo mengine yalibaki kwa darassa mwenyewe. Hata hili darassa limewahi kumkuta kwenye wimbo wa "kaa tayari" alioshirikishwa na Roma. Alikua nje kabisa na hata mixing haikua sawa

Hapo umetaja orodha ya nyimbo za Fid, hakuna issue jipya lolote. Hata motra the future ana list ya nyimbo zake na unaweza orodhesha na zipo vizuri tu ukisikiliza

Kusimamisha kundi sio kazi ndogo na likafanya vizuri sana kama ilivyo weusi. Fid hii kitu asingeweza, kusema jeshi la mtu mmoja huo ni uwongo kwanza hakunaga jeshi la mtu mmoja, maana ya jeshi ni kundi la watu

Unataka quotes gani? Weka hizo za fid
But ujue hata ukisikiliza wimbo wa underground bado utapata tu punchs
 
Kama kuna Ngoma Kati ya hizo nilizotaja haikuwika ndo ungebisha kua hizo Ngoma ni mbovu au ni za uchochoroni kuliko kuzingalisha na Motra aloo hiyo ni Dharau...

Joh Makini hawezi kuwekwa kwenye level ya fid upande wa hip-hop labda inshu nyingine...
Jaribu Tu kufanya research ndogo popote pale uliza top five ya wasanii wakali wa hip-hop bongo kama jina la Joh litatokea mi ntafuta hii ID hapa JF.
Ukibisha pitia hii link Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote

Kufipisha Tu Stori ni kua Joh Makini ni msanii mzuri Ila dunia ya hip-hop haimtambui
 
Nilikueleza toka mwanzo fid hana hits nyingi, labda kama huelewi maana ya hits. Keep na wimbo kuwa mzuri na kuna wimbo kuwa hit. Nakutolea mfano kwa fid huyohuyo, Propaganda ni wimbo mzuri lakini haukua hit

Fid ana nyimbo nyingi za kawaida tu zenye mashairi matamu kusikiliza zaidi gheto.

Kuhusu watu kutaja list hapo Sasa tufanye research ya kutosha, usikurupuke. Tupite kote kuanzia jf, twitter, insta, you tube, mtaani n.k ndio tunaweza kupata majibu sahii

-
 
Back
Top Bottom