Mimi ni shabiki wa Fid Q lakini Joh Makini kashinda

Mimi ni shabiki wa Fid Q lakini Joh Makini kashinda

Fid Q ni msanii aliyebahatisha kwenye nyimbo zake 2 za Mwanza na August 13. Ukitoa hizo nyimbo 2 basi Fid Q anakuwa sawa na wale wanaojiita Tamaduni Music. Joh Makini yuko level za juu sana. Yupo kimataifa wakati Fid Q ni kitaifa. Wimbo wa Bye Bye wa Joh Makini ni wimbo wangu bora wa muda wote kwenye Hiphop. Fid Q ni msanii pendwa wa watu waliokata tamaa ya maisha.
 
Tangu lini mamasamia akawa na akili
 
Farid?

Tunakusubiri mitungi iishe. 😂
Ukilinganisha ngoma moja moja kama hivyo mbona unakosea saana.

Fid muacheni kama alivyo.

Mwanza mwanza
Professional
August 13.
Neno 🌋
Ielewe mitaa 🌋
Fid. Com

Kwa uchache tu humo joh azaliwe upya ndio anaweza kujaribu kufanya kilichofanyika humo.
Joh ni mwamba we acha umandazi.
1.Hao
2.Zamu Yangu
3.Muda
4.Sijutii
5.Sitochoka kusema
 
Farid?

Tunakusubiri mitungi iishe. [emoji23]
Ukilinganisha ngoma moja moja kama hivyo mbona unakosea saana.

Fid muacheni kama alivyo.

Mwanza mwanza
Professional
August 13.
Neno [emoji291]
Ielewe mitaa [emoji291]
Fid. Com

Kwa uchache tu humo joh azaliwe upya ndio anaweza kujaribu kufanya kilichofanyika humo.
Bila kuitaja sihitaji marafiki bado hujataja nyimbo kali bro za Ngosha
 
Joh ni mwamba we acha umandazi.
1.Hao
2.Zamu Yangu
3.Muda
4.Sijutii
5.Sitochoka kusema
Ushaanza ukitumbua mwanangu.

Joh ni mwamba lakini si kwa ngosha, hizo ngoma kama ulivyozitaja nami ndio ngoma zangu bora za joh.. Haswa hizo 1-3 sasa katika ngoma nilizozitaja utatoa ngoma gani ili hizi za joh zikae. Kuna baadhi ya kazi za ngosha hizi za joh zinaweza chukua nafasi lakini si katika nilizozitaji.
Weka hapo
Professional
August 13
Mwanza mwanza
Fid. Com
Neno
Ielewe mitaa

Sasa hapo nitoe ipi ilimoja kati ya ngoma hizo za joh ikae.
 
Hapa kila mtu abaki na msanii wake. Mi Fid Q simkubali kiasi cha kusema Joh ni mtori.
 
Hapa kila mtu abaki na msanii wake. Mi Fid Q simkubali kiasi cha kusema Joh ni mtori.
Mie fid q sio msanii wangu.. Kwani wewe joh ni msanii wako!? 😂🤣

Kwangu fid ni mkali zaidi ya joh, hip hop kuna sehemu kaitoa kaiweka sehemu fulani kina joh wameikutia hapo,.
Fid kwangu ni bora zaidi na hizo ngoma 7 nilizokutajia itabidi zianze hizo kisha ndio ziingie hizo 3 za joh.
 
Farid?

Tunakusubiri mitungi iishe. [emoji23]
Ukilinganisha ngoma moja moja kama hivyo mbona unakosea saana.

Fid muacheni kama alivyo.

Mwanza mwanza
Professional
August 13.
Neno [emoji291]
Ielewe mitaa [emoji291]
Fid. Com

Kwa uchache tu humo joh azaliwe upya ndio anaweza kujaribu kufanya kilichofanyika humo.
Hamna wimbo wowote ule wa Joh makini unaouzidi hata kuukaribia Professional
 
Unaweza kuta anabishana huku bado yupo tungi
Joh vs Fid ni sawa kusema mandonga vs Matumla
Mkuu elewa hiyo post acha kukurupuka.

Hapo ni nusu nusu vs walk it off.

Huo mpambano wa nani mkali umeingia ndani ya mada.

FID Q NI PROFESSOR WA CHUO CHA MTAANI hilo halina ubishi.
 
Professor wa Chuo Kikuu Cha Ghetto wanafunzi wa Kitaaolojia "I'ma Professional"
Najua mkuu.
Huo mstari upo kwenye track yake I'm professional.

Hapo nimeongelea mashairi yake sio kwa wana wa geto tu hadi kwa wana wa kafungue kabati.
 
Back
Top Bottom