Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Farid?
Tunakusubiri mitungi iishe. 😂
Ukilinganisha ngoma moja moja kama hivyo mbona unakosea saana.
Fid muacheni kama alivyo.
Mwanza mwanza
Professional
August 13.
Neno 🌋
Ielewe mitaa 🌋
Fid. Com
Kwa uchache tu humo joh azaliwe upya ndio anaweza kujaribu kufanya kilichofanyika humo.
Yo Makavel.. Sikia hata mimi kabla sijaskiliza hiphop za Muda za mbele nilikua namuelewa sana Fareed.. Of koz nilikua namuona yeye hafanyi tu hiphop ila yeye ndo hip hop mwenyewe.
Nilipoanza kuwasiiliza na kuwaelewa Kina Hammer, The luniz, Common na Nas mara nyingi, Au fatilia Hiphop documentary moja ya muda sana inaitwa Beef 1, Nikakuta Mzee mzima Fareed amegeuza maneno mengi saana ya hao jamaa kuwa kiswahili, labda huo ndo ubunifu wake mkuu. Na yeye Mwenyew alisha kili Vitabu vinam sophisticate pakubwa.
Rado alivyojielezea kwenye interview kuhusu usiulize Alisema mengi kuhusu ile ngoma fareed alimtangulia mistari yake. Ambapo Fareed kila akiulizwa anacheza na maneno tu .
Mi ni mnazi wa underground hiphop lakini Joh makini wa river Camp. Alikuwa ni Mwamba kuliko Fareed, hata huyu wa sasa bado yupo mbele ya mzee mzima Fareed.
Fareed ni wa moto lakini Sio kumpooza Joh makin