makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
kwambia kulinganisha ngoma moja ni kumkosea mtu adabu.Mimi skusema nani mkali mkuu hapo tunazungumzia nyimbo mbili tu.
Walk it off na Nusu Nusu
Zisikilize vizuri hizo tracks utaniambia.Sahihi, ndio maana nika
kwambia kulinganisha ngoma moja ni kumkosea mtu adabu.
Kulinganisha mchezaji kwa game moja moja unaweza ukakuta kuna game kibu ana takwimu nzuri kuliko cr7 π
Pia kwenye hizo ngoma 2, mie binafsi bado natembea na walk it off.
Mkuu hapa nimeongelea nyimbo mbili tu.Fid q ana nyimbo nyingi sana zingine hata watu hawazijui nimekua fan wa fid q Kwa miongo Sasa..
Albamu yake ya vina mwanzo kati na mwisho zote zipo kichwani nazi flow Kuna nyimbo nyingi nzuri kwenye Ile albamu...
Hizi Ngoma nazi mention hapa chini..
Let me list few here...
Mwanamalundi
Nyota ya mchezo
Sumu
Juhudi za wasio jiweza
Mwanangu
Kwangu walk it off ni bora kwa sababu zangu.Zisikilize vizuri hizo tracks utaniambia.
Fid Q yupo vizuri kinoma kwenye ngoma kibao.
Nusu Nusu mkuu ni kali hiyo haipingiki hapa tukiweka ushabiki tutaharibu.
Pamoja mkuu.. ππππ poa mkuu
Kwakua we ni Mlevi lazima uone Joh Makini amemfunika Fid QSasa kwenye niaje ni vipi sio mdundo wa kubang mkuu elewa hilo
WeweUshabiki wa kitoto unaleta
Bila kusahau SUMU....Farid?
Tunakusubiri mitungi iishe. π
Ukilinganisha ngoma moja moja kama hivyo mbona unakosea saana.
Fid muacheni kama alivyo.
Mwanza mwanza
Professional
August 13.
Neno π
Ielewe mitaa π
Fid. Com
Kwa uchache tu humo joh azaliwe upya ndio anaweza kujaribu kufanya kilichofanyika humo.