Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.