Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.

Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.

Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Wenzako wanaokufa, wewe tunashabikia Israel mara Syria mara Iran. Unakula ugali na maharage unashiba, wenzako hata muda wa kuchimba kaburi wazike wafu wao hawana, kwa kuogopa mabomu. Kwani ukiwa mdini unakosa huruma na utu ?
 
Aziz_Nasirzadeh_in_2024_(1)_(cropped_out_MEHR_news_agency_watermark).jpg
 
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.

Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.

Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Mimi msimamo wangu kuhusu hawa Mazayuni niliwahi kuutoa humu Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

p
 
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.

Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.

Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Amka katafute kazi kijana asbh asbh una waza ya israel unazani vita ni kukurupuka tu?
 
Israel hajatwangwa mara mbili na ameufyata?

Mwenzake Iran ameonesha makombora yake hayazuiliki na mfumo wowote wa ulinzi ndiyo maana yamepenya kiutahisi hadi ardhi ya Mazayuni.
Wanarusha vifashifashi/fataki vinatua vichakani?Jamaa yangu tulia.🤣🤣🤣🤣
 
Kweli nyie makondoo kazi yenu ni kuswagwa tu hata hamuelewi mnapoelekea.

Yaani bado hutaki kuwa independent thinking unategemea mchungaji akudanganye kwamba Israel ana nguvu za kupimana na mbabe Iran?

Dunia imefunguka mkuu acha kuhadithiwa jionee mwenyewe. Hadi kufikia sasa amepata kigugumizi cha kujibu mapigo.
 
Aise hapa kweli nimeamini naongea na mtu ambaye akili zake zimeshikwa na mwingine.

Hujaona habari ya jeshi la IDF kukiri madhara makubwa yaliyotokana na makombora ya Iran dhidi ya kambi zake za kijeshi hasa kambi za jeshi la anga?

Yaani wataalamu wa jeshi la Israel wanakiri madhara makubwa yaliyotokea wewe usiye na access yoyote unasema hakuna madhara.

Napenda kuweka hoja mezani na mtu mwenye uelewa wa masuala mazima ya globe lakini nimegundua wewe hufuatilii mambo unasubiri uhadithiwe tu.
 
Watu wapo hapo toka mwaka 1947. Wapalestina waarabu wenzao wana mafuta bado wanalindwa na Marekani. Wanashindwa nini kuwasadia wapalestina na wana hela za mafuta. Mtu anaeswali swala tano na kupiga rakaa ni kondoo aisee.
 
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.

Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.

Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Kila wakiangalia ile video hawaamini kama wao ndo wameshambuliwa kiasi kila zile ngebe na ubabe wao zimeisha
 
Kweli nyie makondoo kazi yenu ni kuswagwa tu hata hamuelewi mnapoelekea.

Yaani bado hutaki kuwa independent thinking unategemea mchungaji akudanganye kwamba Israel ana nguvu za kupimana na mbabe Iran?

Dunia imefunguka mkuu acha kuhadithiwa jionee mwenyewe. Hadi kufikia sasa amepata kigugumizi cha kujibu mapigo.
Hili ndilo kosa lenu vijana. Wachungaji wameingiaje hapo mkuu?
 
Israel ina aibisha sana
sisi tulikua tunajigamba tunasema siku iran akithubutu kurusha hata punje ya mchanga ndani ya ardhi ya israel basi itakua ndo mwisho wa taifa la magaidi iran. Sasa tumegongeshwa mara mbili, hatuna tena cha kusema zaidi ya taarabu tu na aibu.tupo tunajinyea ndan ya mahandaki
 
Aise hapa kweli nimeamini naongea na mtu ambaye akili zake zimeshikwa na mwingine.

Hujaona habari ya jeshi la IDF kukiri madhara makubwa yaliyotokana na makombora ya Iran dhidi ya kambi zake za kijeshi hasa kambi za jeshi la anga?

Yaani wataalamu wa jeshi la Israel wanakiri madhara makubwa yaliyotokea wewe usiye na access yoyote unasema hakuna madhara.

Napenda kuweka hoja mezani na mtu mwenye uelewa wa masuala mazima ya globe lakini nimegundua wewe hufuatilii mambo unasubiri uhadithiwe tu.
Kwa hiyo wewe ndiyo una-access na IDF?Ungetuambia umesoma habari siyo unalijua IDF.
 
Israel huwa hajibu kizembe, atajibu kwa hakika akilenga wahusika tu na mahali sahihi.
Viongozi wote wa Iran kwa sasa tumbo joto, na hakuna anayetamani kutoa pua yake nje ya Iran.
 
Hana uwezo wa kujibizana na Iran ambaye kiuhalisia ndiye mbabe wa eneo lote la mashariki ya kati.

Iran kawapigisha magoti wote hapo middle east hakuna wa kujibizana naye moja kwa moja ni lazima wajiulize mara mbili mbili.
Ukiona post imekuwa 'liked' na Pascal Mayalla ujue ameielewa hata kama haipo kwenye upande wa msimamo wake sio mtu kama Moisemusajiografii anayeendeshwa na mhemko.
 
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.

Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.

Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.

Ukiwa huna akili ndio utawaza na kutaka kujibu vita kama wewe kwa haraka haraka, akili huna
 
Back
Top Bottom