Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel wananjia nyingi za kufanya. Wao na washirika wake. Ila hawatakaa kimya utashangaa. Hata Hamas hawakujibiwa kesho yake. Hata Kiongozi wa Hamas walikiwa wanamtrack siku zaidi ya 24 popote anapoenda kwenye mashimo yake. Tuwe na subira.Si ndipo maana Wengine tukadhani hiki kimya labda mlimshauri ipasavyo kugeuza na shavu la pili, kumbe hola?
Kulikoni kukosekana kwa ushauri wenu mwanana kama huo?
Jamaa kapiga kambi ya Urusi huko syria , kuna balaa hapa .Isreal ana uwezo wa kupambana na vikosi vya wanamgambo kama hamas houth au Hesibora, sio nchi kamiri kama Iran na anajua uzito wake.
Hata watoto wa Yakobo walitumia akili nyingi na muda kulipiza kisasi cha Dada yao kubakwa.Hajibu hayakuwa moja kwa moja hata waliporusha makombora awamu ya kwanza. Ila mkuu wa nchi alifyekwa kinamna. Hawa wanaoption nyingi z kujibu tena zenye maumivu makali kulingana na uwezo na ujuaji wa mjibiwaji. Tusiwapangie. Tuvute subira.
Hata US haikiwa na ubabe wa kuoambana na Iraq thaifu kiliko Iran bila NATO. Ni vitu vya kawaida tu, ndio maana Iran kila siku ndege za kijeshi za Russia zinatua kutoa support. Hata hivyo thinktanks wa Pentagon wengi ni haohao wayahudi. Ndio race yenye ushaiwishi mkubwa Us.Wako kwenye majadiliano ya mbereko kutoka USA, Magaidi wa Israel hawana hiyo nguvu ya kupambana na Iran without support from USA ndugu.
Wako kwenye majadiliano ya mbereko kutoka USA, Magaidi wa Israel hawana hiyo nguvu ya kupambana na Iran without support from USA ndugu.
Israel wananjia nyingi za kufanya. Wao na washirika wake. Ila hawatakaa kimya utashangaa. Hata Hamas hawakujibiwa kesho yake. Hata Kiongozi wa Hamas walikiwa wanamtrack siku zaidi ya 24 popote anapoenda kwenye mashimo yake. Tuwe na subira.
haya wafia dini wa kwa mtoro kuna nafasi ya kazi mkachukue iko wazi.
View attachment 3114758
Najadili uhalisia. Amani tunawaombea. Ila US pia usiwaamini. Wanasema hivyo wakati ndege zao zinapishana kushusha silaha Tel Aviv. Wanasema hivyo wakati manowari zao karibu 60% zimeamriwa kutoka ziliko duniani na zinaizunguka Israel na Iran.Heri wapatanishi:
View attachment 3114757
Kulikoni kuwa wakaanga mbuyu?
Subira ya shari ya nini ndugu mtumishi?
Iran inayo hiyo mifumo ya kuzuia makombora?Kwani kuna Israel nyingine unayoizungumzia au hii inayochezea kichapo mara kwa mara na mifumo yake uchwara ya ulinzi?
Iran kazifumbua macho nchi zingine zilizolishwa propaganda na mashoga kwamba Israel ana mifumo imara ya ulinzi kumbe hola.
Hezbollah na Hamas tu wanafurumusha makombora dhaifu na yanafika Israel bila kipingamizi sembuse Hypersonic missiles za Muajemi?
Fumbua macho kataa kudanganywa tena kila mtu anajionea udhaifu wa Israel.
Najadili uhalisia. Amani tunawaombea. Ila US pia usiwaamini. Wanasema hivyo wakati ndege zao zinapishana kushusha silaha Tel Aviv. Wanasema hivyo wakati manowari zao karibu 60% zimeamriwa kutoka ziliko duniani na zinaizunguka Israel na Iran.
Hili ni jukwaa la kimataifa sio la dini.
Acha kuwapanga raia wewe!!!Hajibu hayakuwa moja kwa moja hata waliporusha makombora awamu ya kwanza. Ila mkuu wa nchi alifyekwa kinamna. Hawa wanaoption nyingi z kujibu tena zenye maumivu makali kulingana na uwezo na ujuaji wa mjibiwaji. Tusiwapangie. Tuvute subira.
Tunajadili uhalisia. Mfano Israel ukimpiga ngumi moja ninutaratibu wake atakupiga ngumi mia na mateke 700.Mkuu sisi nani kuwasemea wengine?
Nikadhani jukwaani tunatokea kama tulivyo.
Kumbe tuna nguo tofauti kutegemeana na jukwaa tulipo?
Kulikoni tusikomae na haki bin haki tu?
Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote