Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

Watu wapo hapo toka mwaka 1947. Wapalestina waarabu wenzao wana mafuta bado wanalindwa na Marekani. Wanashindwa nini kuwasadia wapalestina na wana hela za mafuta. Mtu anaeswali swala tano na kupiga rakaa ni kondoo aisee.
Hapa tunazungumzia mtu mmoja mmoja kuwa independent thinking kwa vitu vilivyo wazi kuliko kusubiri mchungaji uchwara akawapige fiksi kanisani kuwadanganya maguvu aliyonayo Israel wakati wewe mwenyewe unatakiwa ufuatilie mambo mubashara na kukataa ukondoo.

Hakuna muislamu anayeitwa kondoo na kiongozi wake na wala hatokubali kuitwa hivyo kwasababu tabia ya kondoo inafahamika.

Muislamu akiona anapigwa fiksi na kiongozi wake wa kiimani ana ujasiri wa kuhoji ama kupingana naye kama jambo hilo sio la kweli tofauti na upande ule.
 
Hajibu hayakuwa moja kwa moja hata waliporusha makombora awamu ya kwanza. Ila mkuu wa nchi alifyekwa kinamna. Hawa wanaoption nyingi z kujibu tena zenye maumivu makali kulingana na uwezo na ujuaji wa mjibiwaji. Tusiwapangie. Tuvute subira.

Hamkuwashauri wana wateule wageuze na shavu la pili?
 
Nikikumbuka mikwala ya netanyau kule UN, naishia kucheka sana
Iran ni mbabe halisi sio wa mchongo ndiyo maana wakati Netanyahu anaimba ngonjera kule UN halafu mwanaume akamjibu kwa vitu vizito kivitendo sio mikwara mbuzi.😂😂

Hapo ndipo unapoona kabisa Israel ni mnyonge kwa Iran maana unaongea saaanaaaa halafu mwamba anakuzaba makofi unatulia tuliiii.
 
Iran buana ana dharau sana huyu mwamba.

Yaani kamtwanga Israel halafu akawaita baadhi ya mabalozi wa nchi za ulaya ambao nchi zao zimelaani mashambulizi ya Iran dhidi ya Mazayuni wajieleze kwanini wanalaani.😂😂😂

Ukiwa mbabe huku una nguvu za kweli hadi raha aise.
 
Israel huwa hajibu kizembe, atajibu kwa hakika akilenga wahusika tu na mahali sahihi.
Viongozi wote wa Iran kwa sasa tumbo joto, na hakuna anayetamani kutoa pua yake nje ya Iran.

Hujui rais wa Iran yuko ziarani Doha?
 
Shavu la Pili ni imani yetu sisi marafiki wa Yesu ambaye hawamuamini. Wao wanaamini jino kwa jino kama nyie.

Kwani hamna nia ya kuwaongoa nao waurithi ufalme wa mbinguni kwa kuwahubiria amani?

Huku kushabikia vita hamuoni mnajifungia njia mbinguni huko ndugu watumishi?
 
Halafu mtu akishatoka kushabikia vita humu anaenda kusema wabogo wenzake ni wajinga wanaoshabikia simba na yanga na kuacha kufuatilia vitu vya msingi. Yani watu wana timu(nchi) zao kabisa humu za kushabikia.
 
Kwani hamna nia ya kuwaongoa nao waurithi ufalme wa mbinguni kwa kuwahubiria amani?

Huku kushabikia vita hamuoni mnajifungia njia mbinguni huko ndugu watumishi?
Hakuna anayeshabikia vita. Tunafafaua wanayoyafanya pande zote mbili.
 
Israel huwa hajibu kizembe, atajibu kwa hakika akilenga wahusika tu na mahali sahihi.
Viongozi wote wa Iran kwa sasa tumbo joto, na hakuna anayetamani kutoa pua yake nje ya Iran.
Tumbo joto wapi mkuu, Raisi wa Iran Jana alikua Qatar, Leo Ayatollah anaongoza Sala ya ijumaa kwenye msikiti mkuu wa Iran. Wapige Moja kwa moja kama Iran ilivyofanya waone.
 
Hajibu hayakuwa moja kwa moja hata waliporusha makombora awamu ya kwanza. Ila mkuu wa nchi alifyekwa kinamna. Hawa wanaoption nyingi z kujibu tena zenye maumivu makali kulingana na uwezo na ujuaji wa mjibiwaji. Tusiwapangie. Tuvute subira.
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.

Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.

Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Wako kwenye majadiliano ya mbereko kutoka USA, Magaidi wa Israel hawana hiyo nguvu ya kupambana na Iran without support from USA ndugu.
 
Wengi hawana la kupoteza ya nyumbani kwao yamewashinda duh!!!!!

IMG_1567 (3).jpg
 
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana.
Kwani ni nani aliyekuwa analipiza kisasi, Israel au Iran? Unajua kuna kamanda alitoka kwenye sherehe za kuapishwa rais wa Iran akauliwa kwenye guest house ya jeshi la Iran?
 
Back
Top Bottom