Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Sawa.Subiri utalia.Nikikumbuka mikwala ya netanyau kule UN, naishia kucheka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Subiri utalia.Nikikumbuka mikwala ya netanyau kule UN, naishia kucheka sana
Isreal ana uwezo wa kupambana na vikosi vya wanamgambo kama hamas houth au Hesibora, sio nchi kamiri kama Iran na anajua uzito wake.Zinapigwa hesabu hapo , Iran sio nchi ndogo ....Kuna calculation si unajua third law of motion!?
Hapa tunazungumzia mtu mmoja mmoja kuwa independent thinking kwa vitu vilivyo wazi kuliko kusubiri mchungaji uchwara akawapige fiksi kanisani kuwadanganya maguvu aliyonayo Israel wakati wewe mwenyewe unatakiwa ufuatilie mambo mubashara na kukataa ukondoo.Watu wapo hapo toka mwaka 1947. Wapalestina waarabu wenzao wana mafuta bado wanalindwa na Marekani. Wanashindwa nini kuwasadia wapalestina na wana hela za mafuta. Mtu anaeswali swala tano na kupiga rakaa ni kondoo aisee.
Mimi nilifikiri kuwa 'no hurry' ni Afrika tu, kumbe na huko pia.Wait. No hurry.
Hajibu hayakuwa moja kwa moja hata waliporusha makombora awamu ya kwanza. Ila mkuu wa nchi alifyekwa kinamna. Hawa wanaoption nyingi z kujibu tena zenye maumivu makali kulingana na uwezo na ujuaji wa mjibiwaji. Tusiwapangie. Tuvute subira.
Iran ni mbabe halisi sio wa mchongo ndiyo maana wakati Netanyahu anaimba ngonjera kule UN halafu mwanaume akamjibu kwa vitu vizito kivitendo sio mikwara mbuzi.😂😂Nikikumbuka mikwala ya netanyau kule UN, naishia kucheka sana
Shavu la Pili ni imani yetu sisi marafiki wa Yesu ambaye hawamuamini. Wao wanaamini jino kwa jino kama nyie.Hamkuwashauri wana wateule wageuze na shavu la pili?
Israel huwa hajibu kizembe, atajibu kwa hakika akilenga wahusika tu na mahali sahihi.
Viongozi wote wa Iran kwa sasa tumbo joto, na hakuna anayetamani kutoa pua yake nje ya Iran.
Mala anatafutwa. Iran Leo tena mshachange gia angani,Yani uhalifu afanye Iran ,kisasi kikalipwe rebanon na Gaza!🤔🤔🤔😂😂Iran yeye ndo sponsor wa makundi yote hapo mashariki ya kati, hivyo Israel kuyapiga hayo makundi ni pigo kubwa kwa Iran haina haja ya Israel kuipiga Tehran
Shavu la Pili ni imani yetu sisi marafiki wa Yesu ambaye hawamuamini. Wao wanaamini jino kwa jino kama nyie.
Hakuna anayeshabikia vita. Tunafafaua wanayoyafanya pande zote mbili.Kwani hamna nia ya kuwaongoa nao waurithi ufalme wa mbinguni kwa kuwahubiria amani?
Huku kushabikia vita hamuoni mnajifungia njia mbinguni huko ndugu watumishi?
Tumbo joto wapi mkuu, Raisi wa Iran Jana alikua Qatar, Leo Ayatollah anaongoza Sala ya ijumaa kwenye msikiti mkuu wa Iran. Wapige Moja kwa moja kama Iran ilivyofanya waone.Israel huwa hajibu kizembe, atajibu kwa hakika akilenga wahusika tu na mahali sahihi.
Viongozi wote wa Iran kwa sasa tumbo joto, na hakuna anayetamani kutoa pua yake nje ya Iran.
Wengi hawana la kupoteza ya nyumbani kwao yamewashinda duh!!!!!Mnashabikia vita kama simba na yanga
Hakuna anayeshabikia vita. Tunafafaua wanayoyafanya pande zote mbili.
Hajibu hayakuwa moja kwa moja hata waliporusha makombora awamu ya kwanza. Ila mkuu wa nchi alifyekwa kinamna. Hawa wanaoption nyingi z kujibu tena zenye maumivu makali kulingana na uwezo na ujuaji wa mjibiwaji. Tusiwapangie. Tuvute subira.
Wako kwenye majadiliano ya mbereko kutoka USA, Magaidi wa Israel hawana hiyo nguvu ya kupambana na Iran without support from USA ndugu.Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Kwani ni nani aliyekuwa analipiza kisasi, Israel au Iran? Unajua kuna kamanda alitoka kwenye sherehe za kuapishwa rais wa Iran akauliwa kwenye guest house ya jeshi la Iran?Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana.