Mashambulizi ya Iran yalikuwa kwa sababu ya kuuliwa Ismail Haniyeh, kupigwa kwa ubalozi wa Iran nchini Syria, kutolewa jicho kwa balozi wa Iran nchini Syria, na kuuwawa kwa Nasraillah sasa jiulize hayo matukio yalitokea lini.
Kingine IDF Huwa wanafanya calculations zao vizur sana kabla ya kufanya mashambulizi yeyote.
Mlianza kwa Hamas ooh Israel anamuogopa Hamas sasa hivi huwasikii tena hao wajinga, ikaja kwa Hizbullah mwaka mzima wanarusha makombora Israel mkarudi tena oohh IDF hawez kutia mguu kwa Hizbullah wanawaogopa ila sasa hivi tunavyoongea wanaume wako Lebanon katika operation ya NORTHERN ARROW watakaofuata ni Houth Kisha huyo Iran ndio itakuwa wa kumalizana naye.