Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.

Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.

Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Iraq ya Saddam Hussein ilipoishambulia Israel, Waisrael wala hawakuhangaika kulipiza. Kwa kifupi, walimpuuza Saddam Hussein na Iraq yake.
 
Mimi ni muafrika wa Tz. Ungeniambia nisome kwa ajili ya Tz ningekuona unajielewa. Ila mwenzangu wewe naona ni Myahudi wa Haifa.
Unasoma kwa ajili ya Tanzania wakati Bakhresa,Mo Dewji na Murzah oil wanalipwa ruzuku kila kukicha. Watu wanalipwa ruzuku huku wafanyakazi wao hawana bima wala mafao . Serikali ipo wapi ?Unadhani serikali yako inakujali ? Serikali itaanza kukujali pale utakapowajali ndugu yangu amka. Mimi nikirudi nakuja kuwakamua vizuri walioalala. Narudi Feb 2026 kama utakuwa hauna kazi nitafute pm.
 
Strategic measured aproach!

Japo siamini katika hivi vita zaidi ya ujinga na kukurupukia imani kati yao!
 
Israel huwa hajibu kizembe, atajibu kwa hakika akilenga wahusika tu na mahali sahihi.
Viongozi wote wa Iran kwa sasa tumbo joto, na hakuna anayetamani kutoa pua yake nje ya Iran.
Kwahiyo wanasubiri hadi watoke nje ya Iran ndio walipize.
Basi ndio kama hivyo hatumuwezi tukubari tu Iran mbabe maana kasema tukijibu atatupiga mara 1000
 
Ukiwaingilia bila guard wana Gawa dozi wastani Kwa idadi.
Hapo lazima calculation zihusike
Israeli wametambua Washkaji siyo wanyonge hata kidoga.
 
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.

Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.

Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Hiyo ni vita si video game. Nchi yoyote inayopigana vita haijibu hapo hapo inachukua mipangonna muda kuhakikisha watakapo jibu wanamuumiza adui
 
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.

Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.

Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Tumia akili ww mtu anapofanya jambo ANAWASUBIRI SIKU YA IDI WAKIWA WAMEJAA SAFI KABISA MISIKITINI HAPO NDIPO ROKETI 777 ZITARUSHWA KATIKA MISIKITI 777 KWA MASAA 7 NA DK 7 KATIKA SECOND YA 7 ILI WAWAISHWE KWA MABIKIRA WAO hiyo IRANI KUPIGA KUUA KUKU NA KUHARIBU MAZINGIRA HATA WASIPOJIBU SAWA KWA SASA
 
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.

Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.

Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Israel ya mchongo 🤣🤣
 
Sasa mbabe gan anaacha watu wanajipigia washirika wake eneo lake.. maana palestina, Misri, jordan wote wanalalamika jinsi israel anavyofanya

Hebu fikiria kuna Nchi ipige pale amerika ya kaskazin au kusini halafu mbabe wao awe anaangalia tu au ipige belarus ukanda wa Urusi uone urus atafanya nn

Angekuwa mbabe angeshaingiza jeshi au kurusha ndege zake kumsaidia palestina.. toka tarehe 7 october

Kama anavyofanyaga marekan au alivyofanya kuleta meli za kivita ukanda ule..
Sasa mkuu mbona Marekan harushi ndege zake na kupeleka wajeda ukrein, kwahio sio mbabe kwa Urusi?.
 
Unasoma kwa ajili ya Tanzania wakati Bakhresa,Mo Dewji na Murzah oil wanalipwa ruzuku kila kukicha. Watu wanalipwa ruzuku huku wafanyakazi wao hawana bima wala mafao . Serikali ipo wapi ?Unadhani serikali yako inakujali ? Serikali itaanza kukujali pale utakapowajali ndugu yangu amka. Mimi nikirudi nakuja kuwakamua vizuri walioalala. Narudi Feb 2026 kama utakuwa hauna kazi nitafute pm.
Jamaa una fix sana wewe
 
Mbona walishaliweka hilo wazi kuwa watajibu kwa muda na namna wanavyoona wao inafaa.
GXCPpXhWEAAhZkf.jpeg
 
Inabidi jibu liwe chungu sio la kukulupuka kama Jibu la kwanza Ukungu ulivyoondoka na Mtu ndio Jibu Jingine linalokuja kwa stail nyingine
 
Kwani kuna Israel nyingine unayoizungumzia au hii inayochezea kichapo mara kwa mara na mifumo yake uchwara ya ulinzi?

Iran kazifumbua macho nchi zingine zilizolishwa propaganda na mashoga kwamba Israel ana mifumo imara ya ulinzi kumbe hola.

Hezbollah na Hamas tu wanafurumusha makombora dhaifu na yanafika Israel bila kipingamizi sembuse Hypersonic missiles za Muajemi?

Fumbua macho kataa kudanganywa tena kila mtu anajionea udhaifu wa Israel.
GXOW12NWkAASD6D.jpeg
 
Sasa mkuu mbona Marekan harushi ndege zake na kupeleka wajeda ukrein, kwahio sio mbabe kwa Urusi?.

Marekan kwa ukraine sio sawa na marekan kwa israel...

Ingekuwa Urusi ameivamia Israel amin nakwambia US angeshaingia kitambo...

Interest za US kwa ukraine hazifikii ukubwa wa US kwa israel.. US kawekeza pakubwa sana pale Israel na lengo lake ni ili awe na Proxy Middle East.. kwa Europe ana proxy sehem nying tu..
 
Kuchelewa kujibu ndio hatari zaidi
 
Back
Top Bottom