Dah ujue hiz siku 3 nimepunguza ushabiki wa huu mgogoro baada ya kuhama humu na kuhamia utube kufuatilia live coverage, aisee ni huruma, kama mzazi napoona mzazi mwingine anamwaga chozi na kulia kama mtoto pembeni yake akiwa na maiti za watoto wake... aisee inauma.. kiona vitoto vimepoteza wazaz viko kweny mafolen na mabakuli kungoja msosi wa msaada wakati mimi huku wanangu wanakula ns kusaza kwakwel nimejisikia moyo kuugua kabisaaaa.
Haijalishi ni wayahu au waarabu, Mungu apishe mbali haya majanga