Wait. No hurry.Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Tulia.Have you ever seen some rubbles within a downtown?Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Israel hapigani na Syria ...anapigana na HAMAS-Palestina na HIZBOLLAH-LebanonNilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika
Hapigani.Anawapiga.Zingatia hilo moyoni.Israel hapigani na Syria ...anapigana na HAMAS-Palestina na HIZBOLLAH-Lebanon
Hatawez kujibu maana ameshajigundu ulinzi wake wa anga aliokuwa anautegemea ni dhaifu sanaNilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Uwezo aliouonyehs irani ni wa hatari sana na amegundua akiendele kuleta ubishi ataaribiwa vibaya sanaIran yeye ndo sponsor wa makundi yote hapo mashariki ya kati, hivyo Israel kuyapiga hayo makundi ni pigo kubwa kwa Iran haina haja ya Israel kuipiga Tehran
Acha ujingaujinga wewe chogo.Yani kwa ubongo wako unaona Irani anaweza kupambana na Israel?Hatawez kujibu maana ameshjigundu ulinzi wake wa anga aliokuwa anautegemea ni dhaifu sana
Na mabasha wake aliokkuwa kwa ulinzi wameonysha uwezo mdogo sana
Uwezo aliouonyehs irani ni wa hatari sana na kushindwa. kukaa kukaa tamegundua akiendele kuleta ubishi ataaribiwa vibaya sana
Hana uwezo wa kujibizana na Iran ambaye kiuhalisia ndiye mbabe wa eneo lote la mashariki ya kati.Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Jamaa una tuhadithi tuzuri kweli.Unaweza kutunga kitabu uuze?ππππHana uwezo wa kujibizana na Iran ambaye kiuhalisia ndiye mbabe wa eneo lote la mashariki ya kati.
Iran kawapigisha magoti wote hapo middle east hakuna wa kujibizana naye moja kwa moja ni lazima wajiulize mara mbili mbili.
mwishowe mtavuta bangi.Hajibu hayakuwa moja kwa moja hata waliporusha makombora awamu ya kwanza. Ila mkuu wa nchi alifyekwa kinamna. Hawa wanaoption nyingi z kujibu tena zenye maumivu makali kulingana na uwezo na ujuaji wa mjibiwaji. Tusiwapangie. Tuvute subira.
Kwani kuna Israel nyingine unayoizungumzia au hii inayochezea kichapo mara kwa mara na mifumo yake uchwara ya ulinzi?Acha ujingaujinga wewe chogo.Yani kwa ubongo wako unaona Irani anaweza kupambana na Israel?
Hujiulizi kwa nini mashambulizi ya Lebanon yanaharakishwa?Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Acha vichekesho.Kwani kuna Israel nyingine unayoizungumzia au hii inayochezea kichapo mara kwa mara na mifumo yake uchwara ya ulinzi?
Iran kazifumbua macho nchi zingine zilizolishwa propaganda na mashoga kwamba Israel ana mifumo imara ya ulinzi kumbe hola.
Hezbollah na Hamas tu wanafurumusha makombora dhaifu na yanafika Israel bila kipingamizi sembuse Hypersonic missiles za Muajemi?
Fumbua macho kataa kudanganywa tena kila mtu anajionea udhaifu wa Israel.