Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

Basi huyo proxy wake, kapelekewa proxy na muiran nahio ndio dawa haitokuja kutokea Israel aishi kwa amani hapo mashariki ya kati. Maana anapambana na warabu ambao wanaamini wakifa vitani (wao wanaita kufa Shahid)wanaenda kuishi maisha Bora kuliko ya huku duniani.
 
Inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…