Minong’ono inazagaa, wanataka kumkamata, kasi yake imewashtua!

Kutoka jijini Montevideo, minong’ono imeanza kusambaa kwa kasi, anawanyima raha. Mwanzo walidhani anatania tu, ila nyomi anayoipata inawatisha.

Wanataka kumkamata wampe kesi. Mwambieni achukue tahadhari…
M.kiti mbuyu,ilikuwa geresha,ila yake iwapo kweli hata kuwa na ahueni kwayo,hivyo badala ya kuishi kwa hofu juu yake na kuanza tena zile kesi za kubambika wasikilize mahitaji ya kweli ya Watanzania kwani yeye ni mjumbe tuu,na mjumbe hauwawi.
 

Mkuu, Ulifuatilia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024? Utatuambia ni kipi kitakua kimebadirika kati ya 2024 mpaka october 2025 kiasi kwamba tuamini kutakua na Uchaguzi wa haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…