Minong’ono inazagaa, wanataka kumkamata, kasi yake imewashtua!

Ni kweli kabisa jamaa!!!,,,
 
Usipende kubishia watu humu, wengine wanaona mbali na kusikia mengi
We Kwa akili Yako ulikua unatarajia lissu ataendelea kufanya mikutano yake bila kukamatwa aisee mitanzania akili Haina kabisa
 
We Kwa akili Yako ulikua unatarajia lissu ataendelea kufanya mikutano yake bila kukamatwa aisee mitanzania akili Haina kabisa
TL alikuwa amwahakiangusha chama dola na hizi ni Kicks za Farasi.....wait and see
 
sawa
 
sawa nimekuelewa,lakini ujue kila m2 ana haki ya kuongea anachokijua,,ninamaanisha kwenye miji mikubwa KENYA kuna haki mbaya sana ya kibinadamu,,sasa wewe unaongea kwa jazba unataka niongee unachotaka wewe,,kila m2 ana fikra zake jamaa,ukitaka niongee unachotaka wewe,labda uikate kichwa changu na wewe ukate kichwa chako alaf upachike kichwa chako kwenye shingo langu,hapo kwa hakika nitaongea unachtaka wewe,kwa tayari ntakuwa namiliki mawazo yaliyo kwenye kichwa chako!!
 
Kumbe unaongea unachotaka wewe na si uhalisia basi sawa unahaki 100% mdomo ni wako sio wangu
 
Wamemkamata
Next…
Adui wa Mtanganyika ni Mtanzania

Polisi kmmk mnajitoa ufahamu kama hii nchi sio yenu kama mmekodiwa kutoka nchi ya kufikirika.

Tunaishi nanyi Tunawajua shida hamjajui wala hamjifunzi. Siku yaja

Lissu hang in there, freedom is coming tomorrow!
You are a true son of Tanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…