Minong'ono ya Mbowe kuhusishwa na kushambuliwa kwa Lissu ni mingi, isipuuzwe na Vyombo vya Usalama

Uchunguzi wa kimataifa unagharama zake, nani atawalipa mabilioni ya shiling? lkn pia kwann waitwe wa kimataifa na wakati wa kwetu wanaliweza jambo hilo? Mbowe na genge lake wamwachie dereva aje ahojiwe ili haki ya muhusika ipatikane.
wanamficha kwasababu maalumu
 
dreva ndiyo wanamficha anajuwa kila kitu dadeeeec
 

Ati Tundu anaagiza wananchi waandamane yeye akiwa ubelgiji

Dharau hizo
 
Korona ni kiboko sana
 
Kwani wewe leo siyo zamu yako ya kulinda kaburi?
 
Mwenzako Musiba Sasa hivi anasema tumuombee maana Hali yake sio nzuri mbususu yake inamuwasha hatari.
Bado sabaya siku ya kuhukumiwa ndiyo ataangusha kilio cha ajabu kabisa.

Wanapokuwa wanawatesa watu wanakuwa wanafurahia jinsi wanavyo lia kwa uchungu.

Leo hii kibao kimewageukia wanaomba huruma ya watanzania
 
Kuna mijamaa ikisikia Mbowe, Chadema, katiba mpya, Corona nk mioyo hudunda karibu roho kuwatoka!

Mleta mada keshatia timu ngoja tuisubiri mingine.
Hao woote ni misukule ya meco
 
Uongo husafiri kwa lift ila ukweli hutumia ngazi...na hatimaye hufika japo kwa kuchelewa๐Ÿ˜œ!
Kitaeleweka tu na uhuni pamoja na ughaidi unaokibeba chadema!
Wengi wanaopiga kelele humu aidha ni walihusika kwa yaliyomtokea Lisu, chacha wangwe, saa8 nk au ni wale wanaoishi kupitia mfuko wa bwana mkubwa ili wawe wanamtetea na kuanzisha propaganda za chama nk. So wajipange!
 
waswahili tuna msemo usemao;
Hakuna marefu yasiyo na ncha.........

sasa kachafuka vibaya sana!!

tayari taarifa zake zimeingizwa kwenye database ya dunia kama GAIDI.

alidhani uovu wake huto julikana milele........!!!
wacha avune alicho kipanda!!!

Mtu alidiriki kukiuza chama mwaka 2015 kwa billion 10!!! akamchuuza mzee wa watu Dr.!!! aisee huyu jamaa ni hatari!!
wanao diriki kumtetea mtu kama huyu hata wao ni waovu au walikuwa wana nufaika na uovu wake sana. lkn sasa kafikia mwisho.
 

kama ile katiba ya kwa M7 ambapo kila uchaguzi unapofika jamaa anaambiwa ana haki ya kugombea ili mradi tu chama kimempitisha (udikteta),



kwahiyo kitendo cha Ben kujaribu kumshauri bwana mkubwa kilisababisha hasira ya chini kwa chini na matokeo yake alipotea ktk mazingira ya kutatanisha baada ya kutoka ofisini kwake.


Samaye aliejifanya anataka kupima mafuta ya moto kwa kidole ili am challenge mwenyekiti aliambiwa wazi kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi hii kauli ilibeba ujumbe na maana nzito sana.
Najaribu kuelewa ujumbe. Kumradhi kwa kadhia hii.
 

Kuna mijamaa ikisikia Mbowe, Chadema, katiba mpya, Corona nk mioyo hudunda karibu roho kuwatoka!

Mleta mada keshatia timu, mwingine huyu hapa, ngoja tuisubiri mingine.

Miye niko na zoom najisemea:

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ