Minong'ono ya Mbowe kuhusishwa na kushambuliwa kwa Lissu ni mingi, isipuuzwe na Vyombo vya Usalama

Kuna mijamaa ikisikia Mbowe, Chadema, katiba mpya, Corona nk mioyo hudunda karibu roho kuwatoka!

Mleta mada keshatia timu, mwingine huyu hapa, ngoja tuisubiri mingine.

Miye niko na zoom najisemea:

Hiiiiii bagosha!


Hiiiiii bagosha!

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Tena kafikia mwisho mbaya ingawa TOBO anafurahi kwani anajua atakuwa Kaimu Mwenyekiti aliyeko Ughaibuni! Anakoishi kwa ruzuku ya Wabeligiji, ingawa naye siku zake zinahesabiwa kwani Wazungu wanapitia kipindi kigumu - kimaisha na kimaendeleo - hivyo wanaanza kuhoji matumizi ya ajabu ajabu ya kuwalisha watu kama akina Tobo na nani yule mwingine kule Kanada!? Donor fatique is a reality na itawagusa tu anytime.
 
nakumbuka kifo cha Chacha Wagwe, Mbowe alipo hudhuria mazishi alitaka kupigwa na wananchi walio na hasira akaokolewa na mzee Wasira kama sijakosea.
 
Chadema huwenda inamatatizo makubwa kushinda hata haya tunayosikia, ni kwa nini pia hao wahamiaji wa ulaya wako huko mpaka leo? JPM si hayupo?

wanamwogopa nani tena, au sikendo hii wanaijua vizuri,halafu yule mpiga kelele kaongea mara moja tu, hataki ajish ughulishe na Mbowe, police wafanye watakavyo, Hili sio jibu la kutia moyo hata kidogo kwenye nshu kama hiyo, ndiyo kusema Lissu amemfahamu mbaya wake? kwa nini asingependa kujihususha na suala mbowe na badala yake polisi wafanye watavyoona?
 
Uchunguzi wa kimataifa unagharama zake, nani atawalipa mabilioni ya shiling? lkn pia kwann waitwe wa kimataifa na wakati wa kwetu wanaliweza jambo hilo? Mbowe na genge lake wamwachie dereva aje ahojiwe ili haki ya muhusika ipatikane.
Ukishaona tukio linalowahusu na wanaolalamikia CHADEMA wanaficha picha za tukio jua kuna namna wamepika!

Tukio la kupigwa risasi Lissu japokuwa lilikuwa kubwa sana, CHADEMA mabingwa wa kupiga picha na kupost, hawakupost hata picha 1 ya tukio lile! Jiulize kwa nini? Wakaishia kutoa maelezo ya mdomo yasiyo connect; ooh zimepigwa risasi nyingi sana upande wa kushoto wa gari!. Cha ajabu Lissu kaumizwa mguu wa kulia, na dereva aliyekuwa upande wa kulia hajaumizwa! Na kama haitoshi CHADEMA wamemficha mpaka Leo!

Tukio la kina Mdee, Bulaya na wengineo kuvamia magereza kushinikiza Mbowe aachiwe! Walilalamika tumeenda bila vurugu ila askari wakaamua kutupiga na silaha na kutuumiza! Lakini hawakuposti hata picha 1! CHADEMA hao wazee wa β€œmapichapicha” wasipost picha wanaponyanyaswa! Thubutuu.

Ukweli kujulikana kumbe wao ndiyo walienda kibabe kuanza kuwatukana sana askari waliokuwa wakilinda geti na kulazimisha kuingia getini kwa nguvu!

Hata tukio la Akwilina ni mapishi ya CHADEMA
 
nakumbuka kifo cha Chacha Wagwe, Mbowe alipo hudhuria mazishi alitaka kupigwa na wananchi walio na hasira akaokolewa na mzee Wasira kama sijakosea.
Mmmmh....!!! Huyu jamaaa mmmh!!
 
 
Wee jamaa/mdada tangu juzi ni mada za kushambukia upande fulani tuu .jaribu kuzuia hisia zako basi. Kuna leo na kesho ujue
 
Tanzania hatuendelei na wala hatutaendelea kwa sababu tunawaza mambo ya kijinga na ya kukomoana. Huu ni ushetani unaouwaza mpaka unaiambia jamii ushetani wako. Na sasa vyombo vyetu vya usalama vimeanza kufundishwa na wakora. Daaaaahhhh, Tanzaniaaaa, pole Nchi Yangu!!!!!!!!!!!!!
 
Mbowe angekuwa amehusika Tundu Lissu kupigwa risasi - kwa ninavyoijua hii serekali hata kama ingekuwa imemuona katikisa ukope tu walahi angekuwa tayari convicted na pengine kunyongwa kabisa.

Imagie kasingiziwa kumuua Akwilina, ugaidi, nk - vitu ambavyo hajavifanya kabisa seuze hilo la Lissu?

Waliohusika kumpiga Tundu Lissu risasi wote (underline and bold "WOTE") lazima "wataondoka" mmoja baada ya mwingine kwa divine intervention. Tayari washaanza "kuondoka" mmoja baada ya mwingine wakiongozwa na yule shujaa wao "aliyepigwa dafrao" March 2021.

Mungu alimwacha Tundu Lissu aishi ili watu tupate kushuhudiwa kuwa yeye ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Mungu wa Israel.
 
Yule wa Canada hajaenda kwa style ya Lissu, yule kaenda kwa style hii ya karibuni ya Canada kupokea wahamiaji! Yeye, mke wake na watoto wake wote wanapiga box la kufa mtu ili kuleta mkate mezani! Ndiyo maana anahangaika kuchangisha nyumbu michango, Canada njaa kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…