Pre GE2025 Miongoni mwa kosa kubwa watakalolifanya CCM ni kumpitisha Samia Hassan kuwa mgombea wa urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
😊 Nimejikuta nimeangua kicheko kwa sauti ya juu mkuu..

Eti nafanya utetezi wa maneno matupu πŸ˜‡
Swadaktaa kabisaaa. Maneno matupu kwa maana ya ukichokisema wewe, mtu yeyote yule hata asiye great thinker anaweza fanya. Wewe ilibid uje na heavy tangible facts za kuueleza umma tukuelewe. Samia anazingua sana
 
Swadaktaa kabisaaa. Maneno matupu kwa maana ya ukichokisema wewe, mtu yeyote yule hata asiye great thinker anaweza fanya. Wewe ilibid uje na heavy tangible facts za kuueleza umma tukuelewe. Samia anazingua sana
Kwaio inabidi nije na data madawati mangapi yameongezeka, ajira mpya ngapi zimetengenezwa, madawa ya binadamu yamesambazwa na kufika mpaka VIJIJINI kwa KIASI gani, huduma za maji na umeme zimewafikia mpaka ndani ndani vijijini kwa kiwango gani.

Ngoja tuwaite kina Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable , E.t.c
 
Si bora wafanye makosa ili Taifa lipone?
 
Hapana, hizo habar za madawat wala sio maendeleo. Hayo ni mambo yapogo tu na rais ni aibu kuchukua credit kisa kujenga madarasa.. na sio madarasa ni majengo tu maboma.
Hata hizo zahanat ni majengo tupu tuu hakuna watumishi hakuna vifaa wala madawa

Na si wote wananufaika na madarasa hayo.

Fuel ina panda daily
Chakula daily
Mafuta ya kula na ya taa
Thaman ya $ ina shoot daily
Nauli za usafirishaji juu
Miundombinu ya barabara hoi
Huduma za matibabu juuu

Haya ni mambo yanayomuhusu kila mtanzania haijalishi masikin au tajiri, popote alipo, mjini na vijijini
 
Hatoshi kuingia tena ikulu,kuna methali inasema,

When a clown moves into a palace,she doesn't become a queen ,the palace becomes a circus..
 
CCM inabebwa na polisi pamoja na tume ya uchaguzi. Kinyume na hapo, mpaka muda huu tungekuwa tumeshaisahau.
 
Ngoja waje watujibu hizi hoja ntawauliza popote nikikutana nao Ila nacho jua watasema ni janga la dunia nzima..

Watasema vita vya urusi vs Ukraine kifupi ni majanga ya dunia nzima so it's beyond mama Samia power

Case study zipo nyingi sanaaa angalia nchi zote Kenya, senegali , Zimbabwe, congo drc, Uganda, Gabon, Cameroon, Nigeria mifano ipo mingi Sana huko kote Kuna social, economic,political unrest Kama hapa kwetu Tz
 
Mama mpaka 2030
 
Watampitisha au atajipitisha?
 
Tungeruhusiwa kupiga kura mapema kama MAREKANI, Leo ningempigia SAMIA
 
First day tu alipo sema "Mimi ni Rais wa JMT mwenye jinsia ya kike " nika jua hamna kitu hapa
 
Mkuu,
Lazima mama Samia ashinde kwa kishindo hata kwa bao la mkono Kama la nauye.
Ukisha kua mwenyekiti wa CCM na amiri JESHI mkuu (Jemedari)
Kitatengenezwa kiini macho hii nchi tunaijua Wacha mchezo..

Je unafahamu nini maana ya Jemadari ?
Je unafahamu jinsi anavyopatikana?
 
Alipitishwa Magu na hakikuwa ki2 sembuse Samia!
Kwa CCM wanachohitaji ni kupitisha mtu wao tu then baada ya hapo wanatoa maelekezo kwa Tume yao na vyombo vya dola imeisha hiyo
 
Wewe ni Masabuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…