Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama Hayati Magufuli Tanzania itaendelea kuwepo?

Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama Hayati Magufuli Tanzania itaendelea kuwepo?

Hayo ni maono au ujinga?

Unajua maana ya maono?

Maoni ni kama haya yaliyowekwa na Samia.

1/Kufikisha Watalii mil.5 by 2025

2/Kilimo.kuchangia 10% ya GDP by 2030( ajenda 10/30)

3.Watanzania wapatoa 80% wawe wanatumia Nishati safi by 2034

4.Kila Mtanzania na wastani wa 80% wawe na bima ya Afya by 2030

5.Utekezaji wa sera Mpya ya Elimu uwe umekamilika by 2027 (Elimu ya amali)

Hayo ndio maono na hapo ni kwenye sekta chache tuu nimekupa mifano.
Njoo Chato ule maisha wewe
 
Jamaa alikuwa anapiga vita bandari ya Bagamoyo ili akajenge ya Nyamirembe, shenz sana. Na sasa naona wanataka kuweka lami kutoka barabara kuu ya Mwanza kwenda kwenye bandari hiyo
Wewe na ChoiceVariable huwa mnajidhalilisha mnapompiga vita JPM ambaye ashajipumzikia. Hamuwezi kumsifia Samia bila kumponda JPM? Ukiona mtu kila wakati anaongelea mapungufu ya mtangulizi, juwa Viatu havimwenei
 
isingekuwa Samia Hadi Leo Bado ingeendelea kutengwa.
Mkuu tumia akili kuwaza sio mihemko chato Kama sio mkoa haufai kuwa na maendeleo

Nenda temeke angalia maendeleo yaliyokuwa kuleni sawa na chato Kuna mtu aliye hoji

Hiyo mikoa unayosema ISINGEKUWA SAMIA HADI LEO INGEENDEKEA KUTENGWA naomba unitajie halafu linganisha na awamu zilizopita wamefanya nni

Mimi sio kada wa chama chcote Ila likija swala la maendeleo simama Kama mzalendo kuliko kuongea Kama umekalia kitu chenye ncha kinakuumiza jitahidi uishi kwa Sheria zako sio kusifia ujinga hayo maendeleo NI wajibu wao kuyafikisha kila mkoa tarafa mpaka wilayani

Jitahidi kusifia penye uzuri sio kusema Kama ISINGEKUWA inamaana hayo maendeleo ya chato hayana maana yenye maana hayo ya Samia

Wwe unaona hayana maan ulienda chato ukawauliza wananchi wakakwmbia hayo maendeleo hawayataki na hayana maqna utafiti wako binafsi usiutolee maamuzi kwa wote
 
Hakuna kazi ya kipumbavu duniani km uchawa unashinda kutwa nyuma ya keypad ukitetea upumbavu ni heri kuli anayehangaika kubeba mizigo apate mkate wa kila siku kuliko chawa aliyehamisha ufikiri wa kutumia ubongo na kufikiri kwa kutumia vikalio
Upumbavu ni upi huo? Kimsingi wewe ndio una shida mahala maana kazi za watu za kuonesha Serikali inchofanya wewe unaita uchwara mara upumbavu yaani kichwa chako kina shida mahala.

Vipi ingekuwa kazi ya kutukana ungeipongeza au? 😁😁😁😁

Usiyempenda kaja na Bado hujasema 😁😁 ,soma hiyoo Kuelekea 2025 - Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao
 
Jikite kwenye hoja
Ila Wewe jamaa huwa ni kummer sana hujui tu.

Watu wanaumizwa na serikali ya huyu bibi yako ila wewe huko bize kuwapoteza maboya kwa kupambana na awamu iliyokufa?? Una akili kweli we fala?

Dar es salaam wilaya ya ubungo Kuna shida kubwa sana ya maji, umefika stage watu wanapikia mpaka maji ya mitaloni, na hatuoni juhudi zozote zikifanywa na wafanyakazi wa DAWASCO na Kila siku wanaenda ofisini kusubiri mishaara..... Haya endeleeni kupambana na Kaburi huku mkitegemea eti mwakani mtashinda kwa kishindo wajinga nyie.
 
Upumbavu ni upi huo? Kimsingi wewe ndio una shida mahala maana kazi za watu za kuonesha Serikali inchofanya wewe unaita uchwara mara upumbavu yaani kichwa chako kina shida mahala.

Vipi ingekuwa kazi ya kutukana ungeipongeza au?
 
Ila Wewe jamaa huwa ni kummer sana hujui tu.

Watu wanaumizwa na serikali ya huyu bibi yako ila wewe huko bize kuwapoteza maboya kwa kupambana na awamu iliyokufa?? Una akili kweli we fala?

Dar es salaam wilaya ya ubungo Kuna shida kubwa sana ya maji, umefika stage watu wanapikia mpaka maji ya mitaloni, na hatuoni juhudi zozote zikifanywa na wafanyakazi wa DAWASCO na Kila siku wanaenda ofisini kusubiri mishaara..... Haya endeleeni kupambana na Kaburi huku mkitegemea eti mwakani mtashinda kwa kishindo wajinga nyie.
Wewe ndio kummer,Sasa kama kabla mlikuwa hamuumizwi maji Kwa Sasa yameenda wapi kama mlifikishiwa? 😁😁

Kama humkufikishiwa mnamlaumu nani Sasa,si muendelee kumsifia marehemu?

Uzuri ni kwamba Serikali haitegemei kura za watu wa Mjini na pia Huwa hampigi kura.

On top of that,wakati Serikali inasema ianze kuwakata tozo za miamala ilete maji mjini na Vijijini waliokuwa wa kwanza kupinga na kutukana ni watu wa Dar just kama inavyofanya Sasa.

Haya Sasa chagueni kina Boni yai uone kama watawaletea maji 😁😁😁😂😂😂🤪

Mwisho ulisema huoni juhudi za serikali na kwamba watu wanalingia tuu ofisini kula salary utakuwa na shida kubwa sana kichwani,Tanzania hii sio ubongo tuu sehemu zingine hata maji ya mitaroni hayapo na kama ulitegemea miaka 64 hamjaletewa maji ndio Samia aje kuwafikishia maji Kila mtaa utakuwa mpumbavu.

Mwisho watapiga kura Hawa hapa ,nyie wa Mji ya mitaro endeleeni kutumia na mkome zaidi ,Huwa nafurahi sana watu wa Dar mkipata shida manaa nyie kima kima Kila kitu Huwa mnapinga ,safi sana 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DCpFcodIasq/?igsh=MWRzdDFnYWk2MmpibA==

Huoni juhudi za Serikali au siyo? 🤪🤪👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DCo4F8FPJZx/?igsh=MmxwbmpseDVkeHAx

Nitazidi kukukwera na kazi ya kukera naijua kweli kweli
 
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.

Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo

1. Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2. Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3. Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3. Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4. Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5. Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5. Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6. Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7. Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8. Mradi wa Barabara ya lami Chato
9. Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10. Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11. Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato.
12.Mradi wa Chuo Kikuu Huria Tawi la Chato.
13.Tawi la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
14.Mradi wa Chuo Kikubwa Cha VETA

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797

My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.

View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794

Weka na miradi iliyoendelea nje ya Chato na thamano yakenili tuweze kuona kama kuna imbalance hapo..
 
Back
Top Bottom