Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni miaka 3 kwenda 4 toka magufuli atutoke. Na hizi projects alizipanga almost 8 years ago.Mada ya mwaka gani hii? By the way content matters
Njoo Chato ule maisha weweHayo ni maono au ujinga?
Unajua maana ya maono?
Maoni ni kama haya yaliyowekwa na Samia.
1/Kufikisha Watalii mil.5 by 2025
2/Kilimo.kuchangia 10% ya GDP by 2030( ajenda 10/30)
3.Watanzania wapatoa 80% wawe wanatumia Nishati safi by 2034
4.Kila Mtanzania na wastani wa 80% wawe na bima ya Afya by 2030
5.Utekezaji wa sera Mpya ya Elimu uwe umekamilika by 2027 (Elimu ya amali)
Hayo ndio maono na hapo ni kwenye sekta chache tuu nimekupa mifano.
Wewe na ChoiceVariable huwa mnajidhalilisha mnapompiga vita JPM ambaye ashajipumzikia. Hamuwezi kumsifia Samia bila kumponda JPM? Ukiona mtu kila wakati anaongelea mapungufu ya mtangulizi, juwa Viatu havimweneiJamaa alikuwa anapiga vita bandari ya Bagamoyo ili akajenge ya Nyamirembe, shenz sana. Na sasa naona wanataka kuweka lami kutoka barabara kuu ya Mwanza kwenda kwenye bandari hiyo
Kwa kuwa Samia amewaletea maji nitakujaNjoo Chato ule maisha wewe
Kwenye baa za majamvi? Zimefunikwa na mapazia eti mtu asikuone utarogwaNjoo Chato ule maisha wewe
Mama amewalipa waliopunjwa na kikokotoo 👇👇Wenye wivu wajinyongeeeee
Mkuu tumia akili kuwaza sio mihemko chato Kama sio mkoa haufai kuwa na maendeleoisingekuwa Samia Hadi Leo Bado ingeendelea kutengwa.
Hakuna amani yeyote Kwa upendeleo wa wazi wazi kama huo,hapo sijataja majengo ya Benki,taa za mitaani,viwanja vya mipira nk
Hii haikubaliki
View: https://www.instagram.com/p/CyihAM5NC8i/?igsh=MWZrdGh3d2QzZnZoNA==
Hakuna kazi ya kipumbavu duniani km uchawa unashinda kutwa nyuma ya keypad ukitetea upumbavu ni heri kuli anayehangaika kubeba mizigo apate mkate wa kila siku kuliko chawa aliyehamisha ufikiri wa kutumia ubongo na kufikiri kwa kutumia vikalioSoma humu Kila kitu kipo Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza
Upumbavu ni upi huo? Kimsingi wewe ndio una shida mahala maana kazi za watu za kuonesha Serikali inchofanya wewe unaita uchwara mara upumbavu yaani kichwa chako kina shida mahala.Hakuna kazi ya kipumbavu duniani km uchawa unashinda kutwa nyuma ya keypad ukitetea upumbavu ni heri kuli anayehangaika kubeba mizigo apate mkate wa kila siku kuliko chawa aliyehamisha ufikiri wa kutumia ubongo na kufikiri kwa kutumia vikalio
Jikite kwenye hojaKwani shule kaondoka nayo? Wanashindwaje kupeleka wanafunzi kuitumia?
Ila Wewe jamaa huwa ni kummer sana hujui tu.Jikite kwenye hoja
Upumbavu ni upi huo? Kimsingi wewe ndio una shida mahala maana kazi za watu za kuonesha Serikali inchofanya wewe unaita uchwara mara upumbavu yaani kichwa chako kina shida mahala.
Vipi ingekuwa kazi ya kutukana ungeipongeza au?
Mbuye ni ile unavuka Ginnery kama unaelekea ziwani?Kwani shule kaondoka nayo? Wanashindwaje kupeleka wanafunzi kuitumia?
Wewe ndio kummer,Sasa kama kabla mlikuwa hamuumizwi maji Kwa Sasa yameenda wapi kama mlifikishiwa? 😁😁Ila Wewe jamaa huwa ni kummer sana hujui tu.
Watu wanaumizwa na serikali ya huyu bibi yako ila wewe huko bize kuwapoteza maboya kwa kupambana na awamu iliyokufa?? Una akili kweli we fala?
Dar es salaam wilaya ya ubungo Kuna shida kubwa sana ya maji, umefika stage watu wanapikia mpaka maji ya mitaloni, na hatuoni juhudi zozote zikifanywa na wafanyakazi wa DAWASCO na Kila siku wanaenda ofisini kusubiri mishaara..... Haya endeleeni kupambana na Kaburi huku mkitegemea eti mwakani mtashinda kwa kishindo wajinga nyie.
Zingatia mantiki ya hoja hakuna mtu anasema shule hakuna.Kwani shule kaondoka nayo? Wanashindwaje kupeleka wanafunzi kuitumia?
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1. Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2. Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3. Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3. Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4. Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5. Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5. Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6. Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7. Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8. Mradi wa Barabara ya lami Chato
9. Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10. Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11. Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato.
12.Mradi wa Chuo Kikuu Huria Tawi la Chato.
13.Tawi la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
14.Mradi wa Chuo Kikubwa Cha VETA
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
View attachment 2871785View attachment 2871795View attachment 2871796View attachment 2871797
My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.
View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajViView attachment 2871794
Iliyoendelea ipo kibao tuu ila haiwezi kuwa ya kiupendeleo kama swali.Weka na miradi iliyoendelea nje ya Chato na thamano yakenili tuweze kuona kama kuna imbalance hapo..