Miradi mikubwa haikuanza kipindi cha Hayati Magufuli pekee

Kama isingewezekana bila JPM imekuaje Sasa hao kina January na Samia tulioambiwa ni mafisadi wamemaliza bwawa na wanalijaza Maji? Au akifanya JPM pekee ndio anaweza wengine hawawezi chochote?
Hao wameanzisha mradi gani mpya
 
Mbona uwanja wa ndege wa chato umeuficha ?
au huu siyo uwekezaji wa Magufuli ?
 
Halafu yote haya yalifanyika bila kutekana, kuporana na kuuana
 
Apo mwambia alikaa kipindi kimoja tu angemaliza viwili Yani ingekuwa hatari na nusu
 
Unajisumbua na maelezo yako, Sukuma gang wote ni mazezeta wasiojielewa na watakupinga tu. Umepoteza muda na energy bure kuandika uzi wako.
Just imagine miradi yote ya awamu ya tano wanaita ya 'fedha za Mwendawazimu oops sorry za Mwendakuzimu' sasa wewe jaribu kuseme hiyo miradi uliyoiorodhesha ni ya fedha za JK kama watakubaliana nawe, yaani fedha za walipa kodi wanazigeuza kana kwamba ni zake binafsi.
NB: Kuweka records sawa ungeorodhesha miradi iliyofanywa katika awamu zote, isijekuwa nawe unacheza mchezo wa 'kichawa' kama wauchezao Sukuma gang.
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mbona mnatumia nguvu kubwa sana kuonyesha JPM hakufanya kitu?..

Ni kweli inawezekana miradi mikubwa haikuanza kipindi cha JPM tu maana hata reli aliijenga mkoloni, Bandari alizijenga mkoloni nk... Ukiondoa mkoloni mtanzania pekee mweusi aliyekuja na maamuzi ya miradi mikubwa ambayo wengi tuliona haiwezekani ni JPM.

Nitajie Rais gani Tanzania ambaye alishafanya projects zinazofanana na hizi alizozianzisha JPM ....kuanzia Stieggler's, SGR, BUSISI bridge, Hospitali za rufaa kila mkoa, Ujenzi wa hizi meli za toka mkoloni ( pale Ziwa Victoria hakukuwahi kuwa meli ya kisasa toka JKN na mkoloni)....

Inawezekana JPM anamapungufu yake lakini naweza kusema ni aina ya RAIS ambaye angeifaa sana Tanzania..
 
Mbona uwanja wa ndege wa chato umeuficha ?
au huu siyo uwekezaji wa Magufuli ?
Bahati mbaya miradi yote ya Magufuli haina hati ya jina lake, ni juu yenu wasomi walalamishi kuamua, mufugie kuku ama muipotezee!

Wasomi wa tz mna wivu wa kipumbavu sana
 
Labda kama huna unalolijua kuhusu ilo bwawa, ila unabyomuona Samia na Janauary wanaubunifu wowote? Just be neutral! Samia anavyomuona ni mtu ambae anasumbua kichwa chake kutafuta taarifa? Kubuni vitu?
Umeongea ukweli kabisa samia hawezi jisumbua kamwe kuumiza kichawa kwanza wazanzibar sio watu wa kupenda shida huoni siku hizi ndo kwanza anapaka lipustiki anakuwa kama binti hivi
 
We m
We mjinga Sana tafuta hotuba ya mama wakati anaapishwa kuwa raisi akisema miradi yote iliyo achwa na magufuli ataikamilisha na kuanzisha mipya. Na ndoo anachofanya saivi .
Kisema ni kitu kimoja kutekeleza ni kitu kingine
 
Ukiwa Rais muovu lazima uzungumziwe tu, sasa ulitaka uzingumziwe mtu kama wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…