Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

Kwa hiyo unatakaje sasa
 
Nchi yetu imekuwa kama ya waabudu mizimu kwa sababu kulikuwa hakuna sababu yoyote ya kung'ang'ania kuhamisha makao makuu ya nchi isipokuwa eti kwa kuwa ilikuwa ni malengo ya Nyerere kutokana na uamuzi wa Tanu!
 
Mimi kuna mshikaji wangu nilisoma nae pia alikuwa ananicheka wazi na kunishangaa naendeshaje maisha kwakuwa mimi ni nurse..
Wakati binafsi ninatimiza majukumu yangu yote ya msingi pasipo mawaa yeyote..
Wakati huo yeye alikuwa mhasibu sasa hv yupo kolokroni jela kwa wizi
 
Kwamba dar to moro ni km 300!!! πŸ˜‚

SGR na bwawa la umeme ni miradi yenye tija, shida imefanywa kisiasa na kiupigaji ndio tatizo lilipo.
 
Sio tuu bwawa limeleta Mafuriko ila hata speed ya maji yakiwa mengi yanayoingia yanasababisha mashine kujizima Sasa sijui control ya maji haipo au vipi.

Inamaana mpaka hapo hakuna uhakika wa reliable electricity

Huko kwingine ni maumivu Hadi Yesu anarudi 😁😁
 
Reactions: G4N
Arooo!
We unareta za kureta?
 
Tatizo ni moja tu Watanzania wengi ni wavivu kufanya kazi na wavivu kufikiri.

Wengi wanapenda kuletewa pilau mezani, na hata hapo wasiponawisha kabla ya kula, watalalamika.
Hawajui kuwa magufuli alifanya yake.
TATUA MATATIZO YAKO YANAYOTOKANA NA MAENDELEO
 
Kiukweli kabisa sioni tatizo lolote kwa moradi kama ya SGR, ATCL na Stigler's tusiongopeane kungekuwa na usimamizi bora na kuwa na dhamiri faida ni kubwa hata hivyo siumizi kichwa hasa kwa waafrika wanaotokea TANZANIA.
 
SGR bado haijaanza kazi iko kwenye majaribio.Dodoma ni chaguo sahihi shida ni watendaji.Rais mwenyewe haonyeshi njia yeye anaapisha watendaji wake Dar hivyo anaendelea kuleta hasara sababu watendaji wake wako Dodoma.Mradi wa umeme ni chaguo la mwalimu nadhani ukikamilika tutafanya tathmini shida mafisadi wanauhujumu ili majenereta yao yafanye kazi.hakuna uzalendo
 
Teh na kila kitu kitafeli chini ya mikono yenu......tatizo nyota
 
Reactions: G4N
Nilipoona neno Hayati, nkajua tayari ni wale wanaojiita wanyonge
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ununuzi wa ndege alichemka sana JPM. kuhamia Dom namuunga mkono.
sgr na bwawa ni makusudi ya upigaji awamu hii ndio wameleta upumbavu ktk hiyo miradi 2.
Mbona mama naye analeta madege?mkosoeni na yeye ili asiyalete badala ya kumkosoa tu JPm na kwa kufanya hivyo tunaanza kuwajua nyinyi ni wa kundi gani.
 
Tena alikurupuka sana

Yeye magu hakuleta hasara alivyokua anaapisha Dom..?!maana watu walikua wanatoka Dar kwenda Dom
 
Kiukweli kabisa sioni tatizo lolote kwa moradi kama ya SGR, ATCL na Stigler's tusiongopeane kungekuwa na usimamizi bora na kuwa na dhamiri faida ni kubwa hata hivyo siumizi kichwa hasa kwa waafrika wanaotokea TANZANIA.
Kwani hile mibeewa used Nani aliagiza alafu tuendelee na usimamizi
 
Tena alikurupuka sana



Yeye magu hakuleta hasara alivyokua anaapisha Dom..?!maana watu walikua wanatoka Dar kwenda Dom
Kama walitoka Dar kwenda Dodoma hiyo ilikuwa gharama zao sababu yeye alitoa maagizo kwa watendaji wake wote wahamie makao makuu sababu hata yeye muda mwingi alikuwa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…