Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema...
Baada ya kushindwa kuvaa viatu vya mtangulizi wake, sasa ndo DAMAGE CONTROL mnaifanya mitandaoni ili kushift blames?

Ipo hivi.
Miradi haikuwa ya Magufuli bali ilani ya CCM ambayo kura ziliibwa na dola kuwapatia nafasi hicho chama kutekeleza ilani yake. Je hayo yote aliyoyaanzisha hayakuwepo kwenye manifesto ya chama?

Hapa mbaya wetu siyo Magufuli wala Mama, mbaya wa Tanzania ni mfumo ulioshindwa wa CCM. Haiwezekani dola ikawa ndo chama na chama kikawa dola. Ikiwa wanandoa hawajitambui basi ndoa yao inaleta tafrani kwenye familia

CCM imeshindwa ndo maana inaokoteza okoteza viongozi na wateule kutoka pakacha lililochina
 
Nchi hii wajinga ni wengi. Wewe mwandishi wa Uzi huu ni ishara ya kwamba nchi yetu wajinga Bado ni wengi Sana. Na kama ulizaliwa na wazazi basi ni hasara kwao...
Unaweza kujiona mjanja kumbe wewe ndiye mjinga. Huyu haongelei ubaya wa miradi bali ufanisi wa hiyo miradi. Chukulia bwawa la mwal.

Nyerere lililo kwenye hatihati ya kuta kupasuka au kuleta mafuriko ya maangamizi. Nia ilikuwa njema lakini JPM alikurupuka bila kuangalia athari za mazingira, matokeo yake ni nini, likisalia mwaka huu na haya madhira yakajirudia mara 2 au tatu huo mradi hautakuwepo tena!!
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema...
Kumbe mtambo umezalisha maji yaliyoleta mafuriko?
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema...
Afadhali miradi ianzishwe kwa pupa kuliko kutoanzisha miradi hiyo kwa woga iwapo mwishoni ni pesa za walipa kodi ndizo zinazopotea tu.

Hizo hasara unazotaja hapo zinazotokana na kiradi hiyo iliyoanzishwa kwa pupa, angalu basi pia ungetoa counterexample ya miradi ambayo haikuanzishwa kwa pupa na inaingiza faida. Ni ujinga sana kuamini kuwa shrika la ndege linaloanzishwa ni lazima lipate faida papo kwa papo bila hata kuelewa kuwa biashara yoyote ina incubation period kabla ya break even point.
 
Hata pangua rudisha pia nitatizo. Sasa wamemuambia live hawatajifunza nadhani aliewaweka ajifunze yeye
 
Unaweza kujiona mjanja kumbe wewe ndiye mjinga. Huyu haongelei ubaya wa miradi bali ufanisi wa hiyo miradi. Chukulia bwawa la mwal. Nyerere lililo kwenye hatihati ya kuta kupasuka au kuleta mafuriko ya maangamizi. Nia ilikuwa njema lakini jpm alikurupuka bila kuangalia athari za mazingira, matokeo yake ni nini, likisalia mwaka huu na haya madhira yakajirudia mara 2 au tatu huo mradi hautakuwepo tena!!
Hivi unajus unachoongea au na wewe ni wale watu wakukalilishwa
 
Back
Top Bottom